Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wakaidi amri ya mahakama Kenya

Vyama vya walimu nchini Kenya vimesema havitatekeleza amri ya mahakama iliyowataka kusitisha mgomo huo kwa siku tisini kuanzia leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Afya wakaidi amri ya mahakama

WATENDAJI wa Wizara ya Afya wameingia katika mgogoro na mhimili wa mahakama baada ya kukaidi amri ya kukifungulia kituo cha tiba za asili na mbadala cha Foreplan Herbal Clinic. Kituo...

 

5 years ago

Michuzi

Mahakama Kuu ya Kenya yatoa amri ya kusitishwa ndege zote kutoka China

Rais Uhuru Kenyatta
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kusitishwa kwa muda ndege zote kutoka China zinazoingia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kufuatia kesi kuhusu virusi vya Corona iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa nchi hiyo.

Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China kwa kipindi cha siku kumi.

Akitoa hukumu yake leo Jaji James Makau ameziagiza Wizara ya Usalama wa Ndani na ya Afya kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini...

 

5 years ago

CCM Blog

MAHAKAMA KUU YA KENYA YATOA AMRI KUSITISHWA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA CHINA

  Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kusitishwa kwa muda ndege zote kutoka China zinazoingia katika nchi hiyo  kufuatia kesi kuhusu virusi vya Corona iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa nchi hiyo.
Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China kwa kipindi cha siku kumi.
Akitoa hukumu yake leo Jaji James Makau ameziagiza Wizara ya Usalama wa Ndani na ya Afya kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini Kenya kutoka China kupitia uwanja wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yasitisha mgomo wa walimu Kenya

Mgomo wa walimu nchini Kenya umesitishwa baada ya agizo la mahakama kwamba walimu warejee kazini wiki ijayo ikiwa afueni kwa wanafunzi

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama yafuta nyongeza ya mishahara ya walimu Kenya

Korti ya Rufaa nchini Kenya imebatilisha nyongeza ya mishahara ya hadi asilimia 60 ambayo walimu wa serikali walikuwa wamepewa na mahakama ya chini.

 

5 years ago

Michuzi

WATEJA SOKO LA KIHESA WAKAIDI AGIZO LA KUTAKASA MIKONO, JESHI LA AKIBA WAKUKAMATA WAKAIDI

Kaimu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Joseph Ryata akiwa katika soko la Ipogolo alipofanya Ziara katika masoko ya manispaa ya Iringa kwa lengo la kujua namna gani wafanyabisha wanaelimu ya kupambana na Virusi vya Corona.Kaimu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Joseph Ryata akiwa katika soko la Mlandege alipofanya Ziara katika masoko ya manispaa ya Iringa kwa lengo la kujua namna gani wafanyabisha wanaelimu ya kupambana na Virusi vya Corona.Kaimu Meya wa Halmashauri ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Amri ya Mahakama yazua sintofahamu bungeni

Miongozo iliyoombwa na wabunge jana ilizua vurumai bungeni kiasi cha kumfanya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kutishia kuliahirisha.

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama yatoa amri mazishi ya Profesa

MAHAKAMA ya Wilaya Tarime, imeamuru mwili wa Profesa Patropher Ondiek (78) usubiri siku 10 zaidi kuzikwa ili watoto wake wahudhurie maziko. Akisoma hukumu juzi kutokana na shauri la madai lililofunguliwa na mke wa marehemu, Luth Mary Ondiek, Hakimu wa Wilaya Amworo Odira alisema uamuzi huo umetokana na wanafamilia kukubaliana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Mkuu aonya wavunja amri za Mahakama

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amewaonya watu wanaodharau na kuvunja kwa makusudi amri halali za Mahakama kwamba watakabiliwa na vifungo wakibainika kutenda kosa hilo. Alisema ikiwa Mahakama itatoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani