Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUCTA yadai nyongeza ya mishahara

nmgayaNa John Maduhu, Mwanza

SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limeitaka Serikali kuhakikisha inaongeza kima cha chini cha mshahara ili kuwawezesha wafanyakazi kujikimu kimaisha.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Nicolaus Mgaya, wakati akisoma risala ya wafanyakazi mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani, iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Mgaya alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama yafuta nyongeza ya mishahara ya walimu Kenya

Korti ya Rufaa nchini Kenya imebatilisha nyongeza ya mishahara ya hadi asilimia 60 ambayo walimu wa serikali walikuwa wamepewa na mahakama ya chini.

 

11 years ago

Mwananchi

JK kuhutubia wafanyakazi, Tucta yalilia mishahara

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeitaka Serikali kupandisha kima cha chini hadi kufikia Sh750,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUCTA yalia mishahara duni kwa wafanyakazi

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limebaini kuwa wafanyakazi wengi nchini bado wanakabiliwa na maisha magumu kutokana na malipo duni ya ujira. Pia limesema kutozingatiwa kwa sheria za kazi,...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu

>Kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi nchini kutaka Kodi ya Mshahara (Paye), ipunguzwe hadi chini ya asilimia 10 kimekwama baada ya Serikali kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja.

 

10 years ago

Vijimambo

TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA



Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyongeza ya posho yagonga mwamba

>Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mutharika ajinyima nyongeza ya mshahara

Rais wa Malawi na naibu wake waakhirisha kuongeza mishahara yao kwa sababu ya uchumi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msola alilia nyongeza ya bajeti

SERIKALI imetakiwa kuongeza kiwango cha bajeti kinachotengwa kwenye utafiti kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo ya taifa. Hayo yalisema mjini hapa juzi na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge  ya...

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha nyongeza ya posho

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete hajaongeza posho kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Sh 300,000 za sasa na kueleza kuwa hajawahi kupokea maombi ya nyongeza ya posho hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani