mahakama kuu yafuta tena maombi ya sheikh ponda kuodolewa shitaka la kukaidi amri halali
![](http://3.bp.blogspot.com/-cslv_PWmcrE/UyhmijxUFhI/AAAAAAAFUjk/ZUp12fONrl0/s72-c/download+(1).jpg)
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo imefuta kwa mara ya pili maombi ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (pichanibaada ya kufunguliwa kwa kukiuka sheria.
Kadhalika maombi hayo yamefutwa baada ya kukiuka kifungu cha 372 kidogo cha (2) cha Mwenendo wa Sheria za Makosa ya Jinai (CPA) ambacho hakiruhusu maombi hayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Sheikh Ponda akwama Mahakama Kuu
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Mahakama Kuu yatupa ombi la Sheikh Ponda
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda la kufanya mapitio ya uamuzi wa Mahakama ya...
10 years ago
GPLMAHAKAMA KUU YAMUACHIA HURU SHEIKH PONDA LEO
10 years ago
GPLMAHAKAMA YA ILALA YAFUTA AMRI YAKE YA KUWAKAMATA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sheikh Ponda aiangukia mahakama
![Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Ponda-Issa-Ponda.jpg)
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.
Maombi hayo yaliyokwama mara kadhaa kutokana na sababu za kisheria, yaliwasilishwa jana kupitia wakili wake, Juma Nassoro, wakati rufaa yake ya kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu...
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Mahakama yamtakasa Sheikh Issa Ponda
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mahakama yamuachia huru Sheikh Ponda
11 years ago
Habarileo01 May
Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/BREAKING-NEWS1.gif)
MAHAKAMA MORO YAAHIRISHA HUKUMU YA SHEIKH PONDA