MAHAKAMA MORO YAAHIRISHA HUKUMU YA SHEIKH PONDA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/BREAKING-NEWS1.gif)
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya. Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Hukumu ya Sheikh Ponda Novemba 27
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kBk*s0lw*Nk4HOg0UYy41bETl2pnleL9FkJCf2uzj2OFxJzycbjs3W2MsP-NAH5oLvvlOXgKD4DxAtsdbv5c0hAGC7a1ysZT/breakingnews.gif)
SHEIKH PONDA ANYIMWA DHAMANA MORO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-m7kBNEfrEGpj2u4LwWzWgsNm28LWn*PShIUbb3-JuYnilpPkRDLqTFKzHeLuLBQbK-VLaWKZ3CBC-5mVUzsyuw/ponda.jpg)
KESI YA SHEIKH PONDA MORO YAPIGWA TENA KALENDA
10 years ago
GPLUMATI WA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAFURIKA MAHAKAMANI MORO
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sheikh Ponda aiangukia mahakama
![Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Ponda-Issa-Ponda.jpg)
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.
Maombi hayo yaliyokwama mara kadhaa kutokana na sababu za kisheria, yaliwasilishwa jana kupitia wakili wake, Juma Nassoro, wakati rufaa yake ya kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu...
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Sheikh Ponda akwama Mahakama Kuu
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mahakama yamuachia huru Sheikh Ponda
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Mahakama yamtakasa Sheikh Issa Ponda
9 years ago
StarTV19 Nov
Mahakama yaiahirisha Hukumu Ya Ponda hadi Novemba 30, 2015
Hukumu iliyotarajiwa kutolewa kwa katibu wa Jumuiya na taasisi za kiislamu Tanzania Sheikh Issa Ponda Issa imeshindwa kusomwa baada ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro Mary Moyo kutoikamilisha kutokana na kuwa nje ya Mkoa kikazi.
Akitoa maelekezo mbele ya Mawakili wa Serikali Sunday Hyera, Benard Kongola na wengine kutoka upande wa utetezi Juma Nassoro na Bathoromew Tarimo, Hakimu Rwehumbiza ameiambia mahakama kuwa yeye amekabidhiwa jalada la Kesi hiyo kutoka kwa Moyo na hukumu ya...