Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEIKH PONDA ANYIMWA DHAMANA MORO

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa katika kesi yake ya jinai namba 128 ya mwaka 2013 leo. Kesi hiyo imesikilizwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Marry Moyo ambaye amesema amepokea hati ya kumfutia dhamana Sheikh Ponda kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kwa mamlaka aliyonayo hivyo yeye hana mamlaka ya kuikataa hati hiyo. Kesi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAHAKAMA MORO YAAHIRISHA HUKUMU YA SHEIKH PONDA

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya. Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu...

 

10 years ago

GPL

UMATI WA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAFURIKA MAHAKAMANI MORO

Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro kusubiri kesi ya kiongozi huyo.…

 

10 years ago

GPL

KESI YA SHEIKH PONDA MORO YAPIGWA TENA KALENDA

KWA mara nyingine tena, kesi inayomkabili kiongozi wa Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda leo imeendelea kupigwa kalenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro. Mbali na kundi la wafuasi wa Sheikh Ponda kutoka mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro waliojazana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro leo asubuhi kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili kiongozi wao huyo...

 

10 years ago

GPL

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WASWALI BARABARANI WAKATI KESI IKIENDELEA MKOANI MORO

Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiswali sala ya saa 7 leo mchana kwenye barabara iliyo nje ya Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Mkoa wa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maskini Sheikh Ponda

JITIHADA za Sheikh Ponda Issa Ponda, kutaka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ifanyie marejeo uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba mosi mwaka jana, zimegonga mwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh Ponda kusota rumande

Kesi inayomkabili kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda imeendelea kupigwa kalenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Ombi la Sheikh Ponda ‘latupwa’

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeyatupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuitaka isimamishe kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro hadi itakapotoa uamuzi wa rufaa yake.

 

9 years ago

Mtanzania

Sheikh Ponda: Nitaendelea kupambana

Pg 1Na Ramadhan Libenanga, Morogoro

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameachiwa huru baada ya kukaa mahabusu kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili.

Hata hivyo baada ya kuachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, Sheikh Ponda amesema licha ya kuachiwa ataendelea kupambana kupigania haki za Waislamu nchini.

Katika mazungumzo yake, Sheikh Ponda alisema amesikitishwa na kitendo cha Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuchelewesha haki yake...

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu ya Sheikh Ponda Novemba 27

>Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  jana iliahirisha kutoa hukumu ya rufaa iliyofunguliwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda hadi Novemba 27.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani