Mahakama yaiahirisha Hukumu Ya Ponda hadi Novemba 30, 2015
Hukumu iliyotarajiwa kutolewa kwa katibu wa Jumuiya na taasisi za kiislamu Tanzania Sheikh Issa Ponda Issa imeshindwa kusomwa baada ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro Mary Moyo kutoikamilisha kutokana na kuwa nje ya Mkoa kikazi.
Akitoa maelekezo mbele ya Mawakili wa Serikali Sunday Hyera, Benard Kongola na wengine kutoka upande wa utetezi Juma Nassoro na Bathoromew Tarimo, Hakimu Rwehumbiza ameiambia mahakama kuwa yeye amekabidhiwa jalada la Kesi hiyo kutoka kwa Moyo na hukumu ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Hukumu ya Sheikh Ponda Novemba 27
9 years ago
GPLMAHAKAMA MORO YAAHIRISHA HUKUMU YA SHEIKH PONDA
10 years ago
GPLHUKUMU YA MRAMBA, YONA NA MGONJA YAAHIRISHWA HADI JULAI 3, 2015
9 years ago
GPL31 Oct
9 years ago
Michuzi01 Nov
5 years ago
MichuziMAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO
10 years ago
Habarileo21 Nov
Kesi ya Ponda kuendelea Novemba 27
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha hukumu inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Shehe Issa Ponda hadi Novemba 27 mwaka huu. Hukumu hiyo ilikuwa itolewe jana.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.
9 years ago
Habarileo19 Nov
Hukumu ya Shehe Ponda yapigwa kalenda tena
HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, imeshindwa kutolewa jana kutokana na Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo kuwa mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi.