Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Hukumu ya Shehe Ponda yapigwa kalenda tena

HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, imeshindwa kutolewa jana kutokana na Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo kuwa mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Shehe Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

SIMU YA KICHINA YAZUA BALAA KESI YA SHEHE PONDA

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima
SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa habari kamili. Tukio hilo la aina yake lilitokea baada ya simu ya Kichina ya mmoja wa wafuasi wa Shehe Ponda aliyefahamika kwa jina la Shehe Kitula kuita wakati shughuli za kimahakama zilizopokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hukumu kesi ya Kibanda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom...

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

SHEHE PONDA BALAA!

Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro
SHEHE Ponda balaa! hali ni tete kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro ambayo inasikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na shitaka la kutoa maneno ya uchochezi, Amani lina mtiririko wa habari. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda. Juzi, wakati kesi ikiendelea kusikilizwa mahakamani hapo, baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kesi ya kina Makunga leo

Mahakama ya Hakimun Mkazi Kisutu yawaachia huru punde Meneja Uendelezaji Biashara wa Mwananchi Communication (MCL), Theophil Makunga, Aliyekuwa Mhariri Mtendaji  wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba.

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo

Alphonce  MawazoNA BENJAMIN MASESE, MWANZA

JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.

Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.

Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani