Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu ya kesi ya kina Makunga leo

Mahakama ya Hakimun Mkazi Kisutu yawaachia huru punde Meneja Uendelezaji Biashara wa Mwananchi Communication (MCL), Theophil Makunga, Aliyekuwa Mhariri Mtendaji  wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZZ....: HUKUMU YA KESI YA KINA MBOWE YAAHIRISHWA KWA MUDA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akilipowasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza Hukumu ya kesi ya uchochezi inayowakabili vigogo nane wa Chadema iliyokuwa ianze kusomwa saa nne na nusu asubuhi hii leo Machi 10, 2020. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi saa saba na nusu mchana leo.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiteta jambo na Mshauri Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo,...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAKUNGA, KIBANDA BAADA YA KUSHINDA KESI YAO KISUTU LEO

Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda akiongea na waandishi baada ya kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu. Wakili wa washitakiwa, Nyaloni Mwita akiongea na waandishi wa habari nje ya mahakama.…

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hukumu kesi ya Kibanda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom...

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo

Alphonce  MawazoNA BENJAMIN MASESE, MWANZA

JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.

Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.

Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...

 

9 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.

 

11 years ago

Mwananchi

Makunga, Kibanda washinda kesi ya uchochezi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Theophil Makunga, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda na Samson Mwigamba katika kesi ya makala ya uchochezi iliyokuwa ikiwakabili.

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kina Mramba yaiva

Dar es Salaam. Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itatoa hukumu katika kesi inayowakabili mawaziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wa Nishati na Madini, Daniel Yona pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Monja, Juni 30, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

MAKUNGA, KIBANDA, MWIGAMBA WASHINDA KESI YA UCHOCHEZI

Theophil Makunga.
Absalom Kibanda.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani