Mahakama ya kikatiba Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
Baada ya Rais Uganda Yoweri Kaguta Museven kuasaini sheria kali dhidi ya watu wanaojihusisha na ushoga, mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada. Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
11 years ago
Mtanzania02 Aug
Mahakama yaruhusu ushoga Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
KAMPALA, Uganda
MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, ambayo ilisababisha mataifa kadhaa ya magharibi kuinyima misaada.
Sheria hiyo ilizua mjadala si tu nchini Uganda bali kote duniani, kiasi cha kuyafanya mataifa ya magharibi yalazimike kuingilia kati.
Mahakama ilisema muswada uliopitishwa kabla ya kuidhinishwa na rais kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kuupitisha na kwa hivyo...
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Ushoga:Tetesi za sheria mpya Uganda
5 years ago
CCM Blog
MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA KIKATIBA ILIYOFUNGULIWA DHIDI YA SPIKA

Mbali na Ndugai, walalamikiwa wengine ni Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo Wakili Kaunda anaiomba Mahakama Kuu kutengua amri ya Spika Ndugai ya kumtambua Mwambe kama...
11 years ago
Mwananchi11 Jul
UTEKELEZAJI: Uganda bado ‘ngangari’ dhidi ya ushoga
11 years ago
Michuzi
Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu

George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa.
Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...
5 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI NDUGAI ILIYOFUNGULIWA KIKATIBA

Mbali na Ndugai, walalamikiwa wengine ni Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo Wakili Kaunda anaiomba Mahakama Kuu kutengua amri ya Spika Ndugai ya kumtambua Mwambe kama...
11 years ago
Michuzi17 Apr
kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu yapigwa kalenda
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Kenya wataka sheria ya ushoga