Kenya wataka sheria ya ushoga
>Mbunge Irungu Kang’ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Sheria zilizopo zinasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Ushoga:Tetesi za sheria mpya Uganda
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
11 years ago
Bongo501 Aug
Mahakama ya kikatiba Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
10 years ago
Habarileo05 Jul
Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa
SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.
10 years ago
Habarileo22 Sep
Wataka sheria ziwabane waharibifu wa mazingira
SERIKALI imetakiwa kuweka sheria kali na kuzitumia dhidi ya wote wanaoharibu mazingira na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi ambayo yana athari kubwa kwa binadamu.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Wataka sheria za usalama barabarani kuzingatiwa
BAADHI ya washindi wa pikipiki kutoka promosheni ya Jishindie Bodaboda inayoendeshwa na Kampuni ya Vodacom wamehimiza umuhimu wa vyombo vinavyohusika na usalama barabarani kuchukua hatua za makusudi kuimarisha usalama ili...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Wataka sheria iruhusu wazazi wachapwe
BAADHI ya wazazi wa kata ya Lusaka wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wametaka sheria ndogo itakayowapatia uwezo wa kisheria walimu wa shule za msingi na sekondari kuwapiga viboko baadhi ya wazazi wanaokataa kugharamia mahitaji ya watoto wao shuleni ikiwemo kutolipa ada za shule.
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari
KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili kufuta sheria kandamizi zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Wataka sheria katika kilimo cha mkataba