Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka sheria iruhusu wazazi wachapwe

BAADHI ya wazazi wa kata ya Lusaka wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wametaka sheria ndogo itakayowapatia uwezo wa kisheria walimu wa shule za msingi na sekondari kuwapiga viboko baadhi ya wazazi wanaokataa kugharamia mahitaji ya watoto wao shuleni ikiwemo kutolipa ada za shule.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wazazi Z'bar wataka bakora shuleni

BAADHI ya wazazi Zanzibar, wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kurudisha matumizi ya bakora shuleni kwa ajili ya kuimarisha nidhamu kwa wanafunzi. Mzazi Mohamed Haji (60) ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Bambi Wilaya ya Kati Unguja, alisema nidhamu ya wanafunzi, imepungua kwa sababu walimu wameacha kutumia adhabu za bakora shuleni.

 

11 years ago

Mwananchi

Kenya wataka sheria ya ushoga

>Mbunge Irungu Kang’ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini  Kenya. Sheria zilizopo zinasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa

SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.

 

10 years ago

BBCSwahili

UK yapitisha Sheria ya mtoto wa wazazi 3

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha sheria itakayorusu uzaaji wa watoto wenye vinasaba, DNA kutoka kwa watu watatu

 

10 years ago

Habarileo

Wataka sheria ziwabane waharibifu wa mazingira

SERIKALI imetakiwa kuweka sheria kali na kuzitumia dhidi ya wote wanaoharibu mazingira na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi ambayo yana athari kubwa kwa binadamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari

KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili  kufuta sheria kandamizi  zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wataka sheria za usalama barabarani kuzingatiwa

BAADHI ya washindi wa pikipiki kutoka promosheni ya Jishindie Bodaboda inayoendeshwa na Kampuni ya Vodacom wamehimiza umuhimu wa vyombo vinavyohusika na usalama barabarani kuchukua hatua za makusudi kuimarisha usalama ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka sheria katika kilimo cha mkataba

Serikali imeshauriwa kuharakisha kutunga sheria na kanuni zitakazosaidia kuongoza kilimo cha mkataba ili wakulima wadogo waweze kunufaika zaidi kiuchumi na shughuli za kilimo.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka utekelezaji sheria uhalifu wa mtandao

mbunge wa Pangani, Saleh Pamba WABUNGE wamekemea vitendo vilivyokithiri vya uhalifu wa mtandao nchini, na kutaka Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015, uliopitishwa, Sheria yake itumike ipasavyo, ili kudhibiti uhalifu huo wa mtandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani