Wataka sheria za usalama barabarani kuzingatiwa
BAADHI ya washindi wa pikipiki kutoka promosheni ya Jishindie Bodaboda inayoendeshwa na Kampuni ya Vodacom wamehimiza umuhimu wa vyombo vinavyohusika na usalama barabarani kuchukua hatua za makusudi kuimarisha usalama ili...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogTUNATAKA MABADILIKO SHERIA YA USALAMA BARABARANI.....!
1. KUDHIBITI Mwendokasi (Speed) kwa kuweka alama za mwendo kikomo maeneo yenye halaiki, kama vile sokoni, mashuleni, na mijini; na kuweka tafsiri sahihi ya maana ya maeneo ya makazi.
2. Kuwafanya wote dereva na abiria wa Pikipiki avae Kofia ngumu (helmet), ili abiria asiyevaa kofia na ipo apigwe faini yeye mwenyewe;
3. Kuwafanya abiria wote kwenye gari wafunge mikanda (seat belts) na sio wa siti za mbele tu. Kwani ajali zinapotokea abiria wote wanapata madhara. Sheria itamke wazi kuwa abiria...
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...
9 years ago
MichuziUSALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE
Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum unaohusu kuhamasisha Usalama barabarani na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mshambuliaji wa timu ya Simba,Hassan Mgosi akijaribu...
11 years ago
MichuziMABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Miaka ya nyuma ilikuwa Tajiri mwenye Basi akitaka kuajiri Dereva Swali la Msingi iliuweze kuajiariwa alikuwa anauliza kama Umewahi kuendesha wapi na wapi Ukitaja UDA kazi unapata haraka sana Tofauti na sasahivi madereva wa uda wamekuwa hawana sifa kwani tunashudia wanavyo endesha hovyo magari hayo Barabarani na hawaheshimu kabisa taratibu za uendeshaji.Ni jana usiku tu tumeona moja ya gari hilo likiwa mtaroni kutokana na uzembe wa madereva hao,sasa na asubuhi ya leo tunaona basi lingine...
10 years ago
GPLWANANCHI WATAKIWA KUTOA TAARIFA ZA UKIUKAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Naibu kamishna wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Johanes Kahatano (katikati) akiwafafanulia jambo Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kushoto), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed Mpinga, na Mkurugenzi wa Radio One Stereo, Deogratius Rweyunga kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama “Zuia...
9 years ago
GPLUSALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE
Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum unaohusu kuhamasisha Usalama barabarani na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. ...
11 years ago
MichuziKamanda Mpinga awafunda madereva wa UDA kuzingatia sheria za Usalama barabarani
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga ( aliyesimama) akifafanua kwa ufasaha vifungu vya sheria za usalama barabarani na miiko ya maadili ya udereva, wakati akifungua warsha ya mafunzo kwa maderva wa kampuni ya UDA jijini Dar es Salaam leo. Aliwafunda madereva hao kuwa wasafi, lugha nzuri na kutabasamu kwa abiria ambao ni wateja wao.Wengine pichani ni Mwenyekiti wa makampuni ya Simon Group,Robert Kisena (kulia) na David Mziray kutoka SUMATRA.
Mwenyekiti wa makampuni...
10 years ago
MichuziWaziri wa Mambo ya Ndani awaambia madereva chonde chonde zingatieni sheria za usalama barabarani
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe (kushoto) akishuhudia dereva wa pikipiki akivalishwa pete zenye ujumbe wa “Wait to Send” wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya...
10 years ago
GPLWAZIRI WA MAMBO YA NDANI AWAAMBIA MADEREVA CHONDE CHONDE ZINGATIENI SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Mathias Chikawe (watatu kutoka kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania