Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA AIRTEL YATOA MSAADA WA SAMANI KWA OFISI YA USALAMA BARABARANI‏

Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akiteta na Afisa Mnadhimu wa Polisi  Kinondoni,  Bibie Juma Athumani (wa kwanza kushoto) baada ya Airtel kukabidhi viti na meza kwa ajili ya polisi wa kituo cha Oysterbay hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa Polisi wa kituo hicho.
Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akisalimiana na Afisa Mnadhimu wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

11 years ago

GPL

FACEBOOK KUTUMIKA KUFUNZA USALAMA BARABARANI‏

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Unesco , Bw. Al Amin Yusuph, akisalimiana na Naibu Kamishna wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, mara baada ya kuwasili kwenye warsha hiyo iliyomalizika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Yatoa Msaada wa Samani kwa Ofisi ya Usalama Barabarani Kinindoni

Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia)akiteta na Afisa Mnadhimu wa Polisi Kinondoni, Bibie Juma Athumani (wa kwanza kushoto)baada ya Airtel kukabidhi viti na meza kwa ajili ya polisi wa kituo cha oysterbay hivi karibuni.Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa Polisi wa kituo hicho. Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akisalimiana na Afisa Mnadhimu wa Polisi Kinondoni, Bibie Juma Athumani baada ya Airtel kukabidhi viti na meza...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI NA BARABARANI‏


Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya usalama na afya mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na  Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Oyster Bay jijini Dar es salaam. Kushoto ni Meneja wa OSHA kanda ya Pwani Jerome Materu na Mkuu wa Idara ya Usalama,...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA‏

Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza 7171 Josephine (kushoto), akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva Alex John wakati wa operesheni ya usalama barabarani iliyofanyika Mkoani humo ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha kampeni hiyo inadhamiwa na Vodacom Tanzania.Dereva wa kampuni ya mabasi ya Mohamed Trans, Soud Nassoro...

 

10 years ago

GPL

USALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE‏

Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum unaohusu kuhamasisha Usalama barabarani na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. ...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI TANGA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wadau wa Usalama Barabarani pamoja na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia ni Katibu wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani