Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatuna mpango wa kulifungulia gazeti la Mwanahalisi-Nkamia


SERIKALI imesema haina mpango wa kulifungulia gazeti za Mwanahalisi, ambalo ililifungia kwa muda usiojulikana kutokana na ukiukwaji wa taaluma ya uandishi wa habari.
Aidha, imesema haina mpango wa kupunguza kodi ya uzalishaji wa magazeti kutokana na gharama ndogo ya kodi inayotoza kwenye magazeti hayo.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia, wakati akijibu swali la nyongeza la Joseph Mbilinyi, (Mbeya Mjini-Chadema),...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA KUU YAFUTA ADHABU YA KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI

Mkurugenzi wa Mwanahalisi Publisher, Saed Kubenea akionesha magazeti ya Mwanahalisi katika moja ya mikutano aliyofanya na wanahabari. Picha ya Maktaba 

Na Florence Majani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa Julai 30, 2012 kwa amri ya Dk Mukangara...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama Kuu yatengua adhabu ya kufungiwa gazeti la Mwanahalisi

Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.

 

10 years ago

Vijimambo

HARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA

 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM,Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa.(Picha na Ramadhan Hassan)Mhariri Msanifu wa gazeti la mtanzania Khamis Mkotya akionesha fomu alizokadhiwa jana katika ofisi za chama hicho Wilayani Kondoa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge katika Jimbo la Chemba. (Picha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikinde: Hatuna mpango wa kwenda mahakamani

UONGOZI wa Bendi ya Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, umesema hauna mpango wa kwenda mahakamani kumshitaki wakala aliyewachukua baadhi ya wanamuziki wao na kwenda kufanya nao ziara nchini Ujerumani...

 

10 years ago

GPL

MHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA, KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA, DODOMA‏

 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa wilaya hiyo CCM, Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa. …

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU: HATUNA MPANGO WA KUWAONDOA WAMASAI LOLIONDO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu, amesema habari zinazodai kuwa Serikali inataka kuwaondoa wakazi wa zaidi ya 40,000 katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha  hazina ukweli wowote.
Novemba mwaka huu, gazeti The Guardian la nchini Uingereza, liliandika habari kuwa serikali ina mpango wa kuwafukuza Wamasai wanaoishi eneo hilo.
Gazeti hilo lilidai kuwa, lengo ni kuwapatia eneo lenye kilometa za mraba 1,500, kampuni ya OBC ya Falme za Kiarabu.
Akizungumza na wananchi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Hatuna mpango kufukuza Wamasai Loliondo

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema habari zinazodai serikali inataka kuwaondoa wakazi wa zaidi ya 40,000 eneo la Loliondo mkoani Arusha ni za uongo na uchokozi. Novemba mwaka...

 

9 years ago

TheCitizen

High Court lifts ban on ‘MwanaHalisi’

The High Court yesterday lifted an indefinite ban on a Kiswahili investigative newspaper, MwanaHalisi.

 

10 years ago

Vijimambo

MHARIRI WA MWANAHALISI ONLINE AFARIKI DUNIA

Mhariri  wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na jiko la gesi, habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Polisi wameuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuhifadhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa kifo chake.
Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani