Sikinde: Hatuna mpango wa kwenda mahakamani
UONGOZI wa Bendi ya Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, umesema hauna mpango wa kwenda mahakamani kumshitaki wakala aliyewachukua baadhi ya wanamuziki wao na kwenda kufanya nao ziara nchini Ujerumani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNYALANDU: HATUNA MPANGO WA KUWAONDOA WAMASAI LOLIONDO
Novemba mwaka huu, gazeti The Guardian la nchini Uingereza, liliandika habari kuwa serikali ina mpango wa kuwafukuza Wamasai wanaoishi eneo hilo.
Gazeti hilo lilidai kuwa, lengo ni kuwapatia eneo lenye kilometa za mraba 1,500, kampuni ya OBC ya Falme za Kiarabu.
Akizungumza na wananchi wa...
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Hatuna mpango wa kulifungulia gazeti la Mwanahalisi-Nkamia
SERIKALI imesema haina mpango wa kulifungulia gazeti za Mwanahalisi, ambalo ililifungia kwa muda usiojulikana kutokana na ukiukwaji wa taaluma ya uandishi wa habari.
Aidha, imesema haina mpango wa kupunguza kodi ya uzalishaji wa magazeti kutokana na gharama ndogo ya kodi inayotoza kwenye magazeti hayo.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia, wakati akijibu swali la nyongeza la Joseph Mbilinyi, (Mbeya Mjini-Chadema),...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Nyalandu: Hatuna mpango kufukuza Wamasai Loliondo
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema habari zinazodai serikali inataka kuwaondoa wakazi wa zaidi ya 40,000 eneo la Loliondo mkoani Arusha ni za uongo na uchokozi. Novemba mwaka...
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Habre alazimishwa kwenda mahakamani
10 years ago
KwanzaJamii01 Oct
KENYATTA ASHURUTISHWA KWENDA MAHAKAMANI THE HAGUE
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Bunge: Mtikila ruksa kwenda mahakamani
BAADA ya mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia kundi la vyama vya siasa, Mchungaji Christopher Mtikila, kutishia kufungua kesi katika mahakama ya kimataifa kuzuia vikao vya Bunge hilo, ameambiwa...
11 years ago
Mwananchi29 May
Sheikh Ponda agoma kwenda mahakamani, abembelezwa
9 years ago
StarTV02 Nov
Kafulila kwenda mahakamani kuyapinga matokeo ya Ubunge
Aliyekuwa Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini Kupitia Chama cha NCCR Mageuzi David Kafulila amesema anakusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa Ushindi Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Husna Mwilima kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25, mwaka huu.
Kafulila amesema amefikia hatua hiyo kwa lengo la kutafuta haki yake baada ya kutoridhishwa na matokeo ya kushindwa na kwamba matokeo yaliyotangazwa katika nafasi hiyo Jimboni kwake ni tofauti na yale aliyonayo...
9 years ago
GPLMGOMBEA UBUNGE KINONDONI ACT-WAZALENDO KWENDA MAHAKAMANI