Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KENYATTA ASHURUTISHWA KWENDA MAHAKAMANI THE HAGUE

Majaji wa mahakama ya jinai ya ICC wameamua kuwa rais wa Kenya hana budi ila kufika mahakamani binafsi Oktoba tarehe 8. Majaji hao wamekatalia mbali ombi la mawakali wa rais Uhuru Kenyatta la kutaka aruhusiwe kuhudhuria kikao hicho kupitia kwa njia ya Video ama kikao hicho cha ana kwa ana kiahirishwe hadi siku nyingine kwani alikuwa amekabwa na kazi na majukumu kama rais wa Kenya. Majaji hao wanasema kuwa Rais Uhuru Kenyatta hakutoa sababu madhubuti ya kukosa kuhudhuria kikao hicho...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Kenyatta ashurutishwa kwenda Hague.

Majaji wa mahakama ya jinai ya ICC wameamua kuwa rais wa Kenya hana budi ila kufika mahakamani binafasi Oktoba tarehe 8.

 

 
Majaji hao wamekatalia mbali ombi la mawakali wa rais Uhuru Kenyatta la kutaka aruhusiwe kuhudhuria kikao hicho kupitia kwa njia ya Video ama kikao hicho cha ana kwa ana kiahirishwe hadi siku nyingine kwani alikuwa amekabwa na kazi na majukumu kama rais wa Kenya.

 

 
Majaji hao wanasema kuwa Rais Uhuru Kenyatta hakutoa sababu madhubuti ya kukosa kuhudhuria kikao hicho...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenyatta ashurutishwa kwenda Hague

Majaji wa mahakama ya jinai ya ICC wamemuamuru rais wa Kenya kufika mahakamani tarehe 8 oktoba.

 

10 years ago

BBC

Kenyatta in Hague for ICC hearing

Kenyan President Uhuru Kenyatta arrives in The Hague to appear at the International Criminal Court on charges of crimes against humanity.

 

11 years ago

BBC

Hague delays Kenyatta trial start

The International Criminal Court postpones the February start of Kenyan President Uhuru Kenyatta's trial following prosecutor's call for three-month delay.

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za mapokezi ya Rais Uhuru Kenyatta alipowasili kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague

1619311_927273563967864_7566706705908247266_n

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akisalimiana na baadhi ya raia wa Kenya wanaoishi nchini Uholanzi kabla ya kuingia kwenye mahakama hiyo. (Picha kwa hisani ya ukurasa wa facebook ya Rais Uhuru Kenyatta).

Na Mwandishi wetu

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili mjini Hague nchini Uholanzi, kuhudhuria kikao kuhusu kesi inayomkabili ya kukochechea na kufadhili machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.

Kikao hicho kitafanyika Jumatano wiki hii, na kinakuja baada ya upande wa mashtaka...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa?

Tokea atangeze kujiondoa ccm na kujiunga chama cha democrasia na maendeleo( Chadema)Mh Edward Luwassa ,imekua kasakamwa na wanafiki wa chama tawala na kulikuza swala la richmon mama vile yeye ni mtuhumiwa pekee ndani ya ccm alokua […]

The post Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa? appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Kenyatta tayari kwenda ICC

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema yuko radhi kwenda katika mahakama ya kimataifa ya ICC kwa kikao maalum kuhusu kesi inayomkabili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenyatta asita kwenda kikao ICC

Rais Uhuru Kenyatta kupitia mawakili wake ameitaka mahakama ya ICC kuahirisha kikao walichomuagiza ahudhurie mwezi ujao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Habre alazimishwa kwenda mahakamani

Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia nguvu kumuingiza na kumdhibiti kiongozi wa zamani wa Chad Hissene Habre katika mahakama ya Dakar Senegal

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani