Kenyatta ashurutishwa kwenda Hague
Majaji wa mahakama ya jinai ya ICC wamemuamuru rais wa Kenya kufika mahakamani tarehe 8 oktoba.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV01 Oct
Kenyatta ashurutishwa kwenda Hague.
Majaji wa mahakama ya jinai ya ICC wameamua kuwa rais wa Kenya hana budi ila kufika mahakamani binafasi Oktoba tarehe 8.
Majaji hao wamekatalia mbali ombi la mawakali wa rais Uhuru Kenyatta la kutaka aruhusiwe kuhudhuria kikao hicho kupitia kwa njia ya Video ama kikao hicho cha ana kwa ana kiahirishwe hadi siku nyingine kwani alikuwa amekabwa na kazi na majukumu kama rais wa Kenya.
Majaji hao wanasema kuwa Rais Uhuru Kenyatta hakutoa sababu madhubuti ya kukosa kuhudhuria kikao hicho...
10 years ago
KwanzaJamii01 Oct
KENYATTA ASHURUTISHWA KWENDA MAHAKAMANI THE HAGUE
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78075000/jpg/_78075833_78074332.jpg)
Kenyatta in Hague for ICC hearing
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72481000/jpg/_72481527_71860383.jpg)
Hague delays Kenyatta trial start
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Picha za mapokezi ya Rais Uhuru Kenyatta alipowasili kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akisalimiana na baadhi ya raia wa Kenya wanaoishi nchini Uholanzi kabla ya kuingia kwenye mahakama hiyo. (Picha kwa hisani ya ukurasa wa facebook ya Rais Uhuru Kenyatta).
Na Mwandishi wetu
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili mjini Hague nchini Uholanzi, kuhudhuria kikao kuhusu kesi inayomkabili ya kukochechea na kufadhili machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.
Kikao hicho kitafanyika Jumatano wiki hii, na kinakuja baada ya upande wa mashtaka...
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Rais Kenyatta tayari kwenda ICC
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Kenyatta asita kwenda kikao ICC
10 years ago
Vijimambo07 Oct
RAIS KENYATTA AKABIDHI MADARAKA KWA ROTO TAYARI KWENDA ICC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007081244_kenyatta_1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EC-lQY2NWy0/XoirgAMa2PI/AAAAAAALmB8/Migzz0xuq_MLQnrC-2sDviWPRAlMylF3QCLcBGAsYHQ/s72-c/Untitled-1.jpg)
RAIS JK NYERERE NA RAIS JOMO KENYATTA WALIVYOACHA KWENDA KUANGALIA KABUMBU VIWANJANI!
![](https://1.bp.blogspot.com/-EC-lQY2NWy0/XoirgAMa2PI/AAAAAAALmB8/Migzz0xuq_MLQnrC-2sDviWPRAlMylF3QCLcBGAsYHQ/s640/Untitled-1.jpg)
Na MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. Usuli:
Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, marehemu Mwalimu JK NYERERE na Rais wa kwanza wa Kenya, marehemu Mzee JOMO KENYATTA, walikuwa na kawaida ya kuhudhuria kabumbu viwanjani, mara moja moja, kunapokuwa na mchezo wa Kimataifa.
Hata hivyo, Mwalimu NYERERE aliacha kwenda uwanjani siku ya Jumanne, tarehe 4.7.1972 na Mzee KENYATTA aliacha kwenda uwanjani siku ya Jumapili, tarehe 12.12.1965.
Je, nini kilipelekea Marais hawa kukata mguu kwenda viwanjani...