Rais Kenyatta tayari kwenda ICC
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema yuko radhi kwenda katika mahakama ya kimataifa ya ICC kwa kikao maalum kuhusu kesi inayomkabili.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Oct
RAIS KENYATTA AKABIDHI MADARAKA KWA ROTO TAYARI KWENDA ICC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007081244_kenyatta_1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
ICC tayari kwa mkutano na Kenyatta
Mahakama ya ICC, inajianda kuwa mwenyeji wa mkutano maalum wa siku mbili kuhusu kesi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Kenyatta asita kwenda kikao ICC
Rais Uhuru Kenyatta kupitia mawakili wake ameitaka mahakama ya ICC kuahirisha kikao walichomuagiza ahudhurie mwezi ujao.
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Kenyatta rais wa kwanza ICC
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekuwa Rais wa kwanza aliye mamlakani kufika mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC .
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE3BII8A3kOQmzQElMuL5C5zkhMutgx1Q1Lu-wEwbAADcVeSbx6gt5CJJplbfIq0YK3BXoIA772cbXYJoZunmTfQ/kenyatta.jpg)
RAIS KENYATTA NDANI YA ICC
Rais Kenyatta wakati akiwasili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko The Hague. RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, leo yupo mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko The Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu. Rais Kenyatta wakati akielekea The Hague jana. Rais…
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Rais Kenyatta atakiwa kufika ICC
Mahakama ya kimataifa ya Jinai ICC, inamtaka Rais Uhuru Kenyatta kufika Hague tarehe 8 mwezi Oktoba licha kesi yake kuahirishwa
10 years ago
Vijimambo08 Oct
Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/08/141008075142_uhuru_kenyatta_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo.
Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. BBC
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
ICC yatupa kesi ya Rais Kenyatta
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), jana imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashika Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda aliondoa kesi...
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
Bensouda asema kujiondoa kwa mashahidi wawili wakuu katika kesi hiyo imemuacha pabaya huku mmoja asema ahwezi kutoa ushahidi dhidi ya rais
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania