RAIS KENYATTA NDANI YA ICC
![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE3BII8A3kOQmzQElMuL5C5zkhMutgx1Q1Lu-wEwbAADcVeSbx6gt5CJJplbfIq0YK3BXoIA772cbXYJoZunmTfQ/kenyatta.jpg)
Rais Kenyatta wakati akiwasili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko The Hague. RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, leo yupo mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko The Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu. Rais Kenyatta wakati akielekea The Hague jana. Rais…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Kenyatta rais wa kwanza ICC
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Rais Kenyatta tayari kwenda ICC
10 years ago
Vijimambo08 Oct
Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/08/141008075142_uhuru_kenyatta_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo.
Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. BBC
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Rais Kenyatta atakiwa kufika ICC
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
ICC yatupa kesi ya Rais Kenyatta
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), jana imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashika Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda aliondoa kesi...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Rais Uhuru Kenyatta hana mashtaka ICC
10 years ago
Vijimambo07 Oct
RAIS KENYATTA AKABIDHI MADARAKA KWA ROTO TAYARI KWENDA ICC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007081244_kenyatta_1.jpg)
10 years ago
Michuzi04 Dec
Kesi ya Rais Uhuru Kenyatta wa kenya, ICC yampa muda Bensouda
![](https://2.bp.blogspot.com/-xqIaKTncqn4/VH_cFnF7ajI/AAAAAAABzYY/efKUwoaBj0c/s1600/141008160241_kenya_icc_640x360_bbc_nocredit.jpg)
ya kimataifa ICC Mhe. Fatou Bensouda
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC imempa kiongozi wa mashtaka katika mahakama hiyo Fatou Bensouda makataa ya juma moja kutoa ushahidi dhidi ya rais wa kenya la sivyo aondoe mashtaka dhidi yake.''Kucheleweshwa kwa kesi hiyo ya rais Uhuru ni kinyume na maslahi ya haki ''iliamua.Rais Kenyatta ni kiongozi wa kwanza wa taifa kufika katika mahakama hiyo tangu ashtakiwe rasmi mwaka 2012 na mashtaka ya uhalifu...