ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta
Bensouda asema kujiondoa kwa mashahidi wawili wakuu katika kesi hiyo imemuacha pabaya huku mmoja asema ahwezi kutoa ushahidi dhidi ya rais
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
ICC yatupa kesi ya Rais Kenyatta
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), jana imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashika Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda aliondoa kesi...
10 years ago
Michuzi04 Dec
Kesi ya Rais Uhuru Kenyatta wa kenya, ICC yampa muda Bensouda
![](https://2.bp.blogspot.com/-xqIaKTncqn4/VH_cFnF7ajI/AAAAAAABzYY/efKUwoaBj0c/s1600/141008160241_kenya_icc_640x360_bbc_nocredit.jpg)
ya kimataifa ICC Mhe. Fatou Bensouda
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC imempa kiongozi wa mashtaka katika mahakama hiyo Fatou Bensouda makataa ya juma moja kutoa ushahidi dhidi ya rais wa kenya la sivyo aondoe mashtaka dhidi yake.''Kucheleweshwa kwa kesi hiyo ya rais Uhuru ni kinyume na maslahi ya haki ''iliamua.Rais Kenyatta ni kiongozi wa kwanza wa taifa kufika katika mahakama hiyo tangu ashtakiwe rasmi mwaka 2012 na mashtaka ya uhalifu...
10 years ago
CloudsFM05 Dec
Mahakama ya Kimataifa ya ICC imeamua ktupilia mbali kesi ya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya
Mwendeshaji mkuu wa mashitaka Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya.
Katika Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo iliyopo nchini Uholanzi imesema kesi yake haikua na ushahidi wa kutosha wa Kenyatta kuhusika moja kwa moja na mauaji ya maelfu ya Wakenya wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Kenyatta alishtakiwa kama mshukiwa mkuu wa ghasia baada ya uchaguzi wa mwaka 2007/2008...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Tanzania yaipongeza ICC kesi ya Kenyatta
SERIKALI ya Tanzania imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) wa kufuta kesi iliyokuwa ikiwakabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto. Akizungumza jijini Dar...
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
ICC:Nini hatma ya kesi ya Kenyatta?
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
ICC yatupilia mbali kesi ya Kenyatta
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3z1dR*PYPma58CaXbb1CR7dquSTrocLBEZ2AzP82Xvui441YgrWm14DYpCgZqbwQV244wVJ-1coXBhyahj55gyb/BREAKINGNEWS.gif)
KESI YA KENYATTA ICC YATUPILIWA MBALI
10 years ago
Michuzi09 Oct
Wakili wa Kenyatta ICC amwambia Bensouda afute kesi ya mteja wake kwani ushahidi hamna
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE3BII8A3kOQmzQElMuL5C5zkhMutgx1Q1Lu-wEwbAADcVeSbx6gt5CJJplbfIq0YK3BXoIA772cbXYJoZunmTfQ/kenyatta.jpg)
RAIS KENYATTA NDANI YA ICC