Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adhabu kwa waongo ni kufungiwa vikao vitatu

>Wajumbe wa Bunge la Katiba wameelezwa kuwa yeyote atakayesema uongo wakati wa kujadili kwa lengo la kuboresha Rasimu ya Pili ya Katiba, ataadhibiwa kwa kuzuiliwa kuhudhuria vikao vitatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA KUU YAFUTA ADHABU YA KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI

Mkurugenzi wa Mwanahalisi Publisher, Saed Kubenea akionesha magazeti ya Mwanahalisi katika moja ya mikutano aliyofanya na wanahabari. Picha ya Maktaba 

Na Florence Majani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa Julai 30, 2012 kwa amri ya Dk Mukangara...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama Kuu yatengua adhabu ya kufungiwa gazeti la Mwanahalisi

Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE 5 WAMEPEWA ADHABU YA KUTOKUHUDHURIA VIKAO VYA MKUTANO WA 20 WA BUNGE.

Wabunge watano wamepewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao vya mkutano wa 20 wa bunge, kwa madai ya kukiuka kanuni za bunge na kusababisha vurugu hali iliyopelekea spika wa bunge kuahirisha bunge.

Adhabu hiyo imetolewa na kamati ya haki maadili na madaraka ya bunge ambapo waliosimamishwa ni Mh Tundu Lissu, Mh John Mnyika, Moses Machali, Pauline Gekul na Mh Felix Mkosamali ambao hawataweza kuhudhuria vikao vya bunge hili hadi litakapovunjwa na wabunge wengine wawili Mh Peter Msigwa na Mh Rajab...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani waeleza kusikitishwa kwa kukamatwa kwa wapinzani na kufungiwa gazeti Tanzania

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tamko la kusikitishwa na walichokiita hatua za serikali ya Tanzania kuminya demokrasia.

 

10 years ago

GPL

VYUMBA VITATU VYATEKETEA KWA MOTO DAR

Askari wa zimamoto wakiwa kazini.
Sehemu ya ukuta ilivyoungua.…

 

9 years ago

StarTV

Serikali kuongeza adhabu kwa wanaovunja sheria kwa kuzidisha mizigo

Serikali inatarajia kuongeza adhabu ya makosa ya uzidishaji mizigo inayosafirishwa kwenye magari kwa njia barabara kuwa kubwa kuliko thamani ya mizigo inayosafirishwa ili kukomesha vitendo vya ukiukaji wa sheria za usafirishaji ambao unasababisha uharibifu wa barabara nchini.

Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano amesema kabla ya kufanya maamuzi hayo, watakaa na wadau wa barabara kuwashirikisha uamuzi huo ili kuzifanya barababra nchini kuwa salama.

 Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli Ya Hashim Lundenga Kuhusu Kufungiwa Kwa Miss Tanzania.

Siku kadhaa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema ” hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini ” .
Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani