Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kauli Ya Hashim Lundenga Kuhusu Kufungiwa Kwa Miss Tanzania.

Siku kadhaa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema ” hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini ” .
Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HASHIM LUNDENGA, NINGENG’ATUKA MISS TANZANIA

Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga. akifafanua  Kwako, Hashim Lundenga.
Ni matumaini yangu kwamba hunifahamu licha ya kwamba majina yetu yanashabihiana. Najua jinsi jasho linavyoendelea kukutoka kutokana na changamoto kubwa unazokutana nazo, tangu ulipomtangaza Sitti Mtemvu kuwa Miss wa Tanzania 2014. Mimi si Mkurugenzi wa Lino International Agency, kampuni inayoendesha...

 

10 years ago

Vijimambo

HASHIM LUNDENGA AKANUSHA HABARI ZA SITTI MTEMVU aka MISS TANZANIA KUJIVUA TAJI.

MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kati pichani), amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu (pichani kushoto) amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).

Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...

 

10 years ago

CloudsFM

LUNDENGA ATOA TAMKO KUHUSU UMRI SAHIHI WA MISS TANZANIA

Waandaji wa shindano la Miss Tanzania 2014 Lino International ambao wakishirikiana na Redds wamekutana leo jijini Dar es salaam na waandishi wa habari ili kuzungumza nao kuhusu skendo ya umri halisi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim lundenga amesema tuhuma za kuwa miss Tanzania anamtoto sio kweli na kwamba hairuhusiwi kwa mshindani wa Miss Tanzania kuwa na Mtoto. Pia Hashim ameonyesha vyeti halisi vya kuzaliwa vya Sitti abavyo vimeonyesha...

 

10 years ago

Vijimambo

LUNDENGA AMTETEA MISS TANZANIA 2014 KUHUSU SAKATA LA UMRI WAKE

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Abbas Mtemvu (kushoto),katika mkutano huo Lundenga alitolea ufafanuzi swala la umri wa Mrembo huyo kulingana na vilelezo alivyopewa na mrembo huyo wakati akijiunga na mashindano hayo 
"Katika mashindano ya yetu,Washiriki wote hujaza fomu maalum...

 

11 years ago

GPL

ANKO LUNDENGA: HAKUNA MISS TANZANIA ANAYESHINDA KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO

MWASISI na muandaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, ‘Uncle Lundenga,’ amefunguka kuwa wanaoshinda Umiss Tanzania hawashindi kwa rushwa ya ngono. Lundenga (58) Mkurugenzi wa Rhino International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya urembo Tanzania ni mmoja wa wadau muhimu sana katika tasnia ya urembo, alianza kujihusisha na kuendesha mashindano hayo ya Miss Tanzania mwaka 1994 ambapo ndipo shindano la...

 

10 years ago

Mwananchi

Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga

Utata umezidi kutanda kuhusu Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye amejikoroga katika juhudi zake za kujitetea kwenye kashfa inayohusu umri wake.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Lundenga aitema Miss Tanzania

BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International  Agency,  Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye  Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.

Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Mwishoni mwa mwaka  jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia  Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji  kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya  mrembo aliyekuwa akishikilia taji  hilo, Sitti Mtevu...

 

10 years ago

Habarileo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani