Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUNDENGA AMTETEA MISS TANZANIA 2014 KUHUSU SAKATA LA UMRI WAKE

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Abbas Mtemvu (kushoto),katika mkutano huo Lundenga alitolea ufafanuzi swala la umri wa Mrembo huyo kulingana na vilelezo alivyopewa na mrembo huyo wakati akijiunga na mashindano hayo 
"Katika mashindano ya yetu,Washiriki wote hujaza fomu maalum...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Lundenga alizungumzia sakata la umri wa Miss Tanzania 2014

Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa habari juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto).
Picha zaidi na kilichojili vitawajia muda si mrefu 

 

10 years ago

CloudsFM

LUNDENGA ATOA TAMKO KUHUSU UMRI SAHIHI WA MISS TANZANIA

Waandaji wa shindano la Miss Tanzania 2014 Lino International ambao wakishirikiana na Redds wamekutana leo jijini Dar es salaam na waandishi wa habari ili kuzungumza nao kuhusu skendo ya umri halisi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim lundenga amesema tuhuma za kuwa miss Tanzania anamtoto sio kweli na kwamba hairuhusiwi kwa mshindani wa Miss Tanzania kuwa na Mtoto. Pia Hashim ameonyesha vyeti halisi vya kuzaliwa vya Sitti abavyo vimeonyesha...

 

10 years ago

Jamtz.Com

HAYA NDO ALIYOSEMA LUNDENGA KUMALIZA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KWENYE PRESS CONFERENCE

Tweet
 Mwaka 2005 kulikua na ushindani kidogo, mwaka 2006 kulikua na ushindani  wa Wema na Jokate na upinzani huu umeendelea kuwepo kwenye mashindano yetu lakini ya mwaka huu imezidi mno, kumekua na matusi… kashfa na hata naona wamevuka mpaka na kuingiza mambo ya kisiasa ambayo sisi hatuyapendi, huu ni mchezo kama mchezo mwingine wowote… yani taji la mwaka mmoja limefunika mpaka katiba na Simba na Yanga?
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

LUDENGA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SAKATA LA UMRI MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa habari muda huu juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto)
Alipotangazwa mshindi, Miss Tanzania 2014, Sitti, ambaye ni binti wa mbunge wa jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, alivikwa taji na mtangulizi wake Happyness Watimanywa, Miss Tanzania 2013.

Kufikia taji hilo la Miss Tanzania,2014 Bi...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIKILIZE HASHIM LUDENGA AFUNGA ZAIDI KUHUSIANA NA SAKATA LA UMRI WA MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim LundengaHivi karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa mshindi.
Baada ya kutangazwa huko, kukawa na mambo mengi yaliyosemwa kumhusu. Kuanzia tetesi za kuwa kadanganya umri mpaka elimu. Kuwa kuna rushwa ilitumika mpaka kusemwa ana mtoto.
Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza na mitandai ya Vijimambo na Kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

ANKO HASHIM LUDENGA AFUNGUKA ZAIDI KUHUSIANA NA SAKATA LA UMRI WA MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim LundengaHivi karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa mshindi.Baada ya kutangazwa huko, kukawa na mambo mengi yaliyosemwa kumhusu. Kuanzia tetesi za kuwa kadanganya umri mpaka elimu. Kuwa kuna rushwa ilitumika mpaka kusemwa ana mtoto. Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza na mitandai ya Vijimambo na Kwanza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msikilize Hashim Ludenga afunguka zaidi kuhusiana na sakata la umri wa Miss Tanzania 2014

Lundenga

Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga hivi karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa mshindi.

Baada ya kutangazwa huko, kukawa na mambo mengi yaliyosemwa kumhusu. Kuanzia tetesi za kuwa kadanganya umri mpaka elimu. Kuwa kuna rushwa ilitumika mpaka kusemwa ana mtoto.  Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza na mitandai ya Vijimambo na Kwanza...

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli Ya Hashim Lundenga Kuhusu Kufungiwa Kwa Miss Tanzania.

Siku kadhaa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema ” hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini ” .
Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani...

 

10 years ago

GPL

LUNDENGA AOMBA VIDHIBITISHO VYA MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014 kwa wanahabari (hawapo pichani) . Kushoto ni Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.
Hashim Lundenga akiongea jambo kwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani