Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUNDENGA AOMBA VIDHIBITISHO VYA MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014 kwa wanahabari (hawapo pichani) . Kushoto ni Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.
Hashim Lundenga akiongea jambo kwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Lundenga alizungumzia sakata la umri wa Miss Tanzania 2014

Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa habari juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto).
Picha zaidi na kilichojili vitawajia muda si mrefu 

 

11 years ago

Vijimambo

LUNDENGA AMTETEA MISS TANZANIA 2014 KUHUSU SAKATA LA UMRI WAKE

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Abbas Mtemvu (kushoto),katika mkutano huo Lundenga alitolea ufafanuzi swala la umri wa Mrembo huyo kulingana na vilelezo alivyopewa na mrembo huyo wakati akijiunga na mashindano hayo 
"Katika mashindano ya yetu,Washiriki wote hujaza fomu maalum...

 

11 years ago

Jamtz.Com

HAYA NDO ALIYOSEMA LUNDENGA KUMALIZA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KWENYE PRESS CONFERENCE

Tweet
 Mwaka 2005 kulikua na ushindani kidogo, mwaka 2006 kulikua na ushindani  wa Wema na Jokate na upinzani huu umeendelea kuwepo kwenye mashindano yetu lakini ya mwaka huu imezidi mno, kumekua na matusi… kashfa na hata naona wamevuka mpaka na kuingiza mambo ya kisiasa ambayo sisi hatuyapendi, huu ni mchezo kama mchezo mwingine wowote… yani taji la mwaka mmoja limefunika mpaka katiba na Simba na Yanga?
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...

 

10 years ago

Bongo5

Lundenga ajibu swali la kama Sitti Mtemvu atanyang’anywa zawadi alizopewa aliposhinda taji la Miss Tanzania 2014

Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amesema miongoni mwa maswali aliyokutana nayo kwa wingi jana kwenye ‘Kikaangoni’ ya EATV, ni pamoja na swala la Sitti Mtemvu kama atanyang’anywa zawadi alizopewa ili akabidhiwe aliyevishwa taji hilo baada ya yeye kujivua. “Kwanza hii ni mara ya kwanza kwa […]

 

11 years ago

Mwananchi

Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga

Utata umezidi kutanda kuhusu Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye amejikoroga katika juhudi zake za kujitetea kwenye kashfa inayohusu umri wake.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Lundenga aitema Miss Tanzania

BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International  Agency,  Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye  Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.

Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Mwishoni mwa mwaka  jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia  Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji  kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya  mrembo aliyekuwa akishikilia taji  hilo, Sitti Mtevu...

 

10 years ago

Habarileo

Lundenga ajiweka kando Miss Tanzania

KAMPUNI ya Lino International Agency Limited ambao ni waandaaji wa shindano la kusaka mlimbwende wa Tanzania maarufu Miss Tanzania imeteua kamati mpya itakayoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

LUNDENGA: Miss Tanzania inakuja kivingine

Miezi saba waliyokaa kifungoni, Kamati ya Miss Tanzania haikuwa imelala; imetengeneza mfumo mpya wa mashindano ya Miss Tanzania yanayofanyika kila mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani