Lundenga ajiweka kando Miss Tanzania
KAMPUNI ya Lino International Agency Limited ambao ni waandaaji wa shindano la kusaka mlimbwende wa Tanzania maarufu Miss Tanzania imeteua kamati mpya itakayoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWEMA AJIWEKA KANDO MGOGORO BONGO MOVIE
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Lundenga aitema Miss Tanzania
BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.
Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Mwishoni mwa mwaka jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo, Sitti Mtevu...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga
9 years ago
Mwananchi22 Aug
LUNDENGA: Miss Tanzania inakuja kivingine
10 years ago
Habarileo07 Oct
10 years ago
Habarileo06 Oct
Lundenga mahakamani, Miss Tanzania njia panda
MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-zDLD6MdNpWY/Tzts3Xyqf5I/AAAAAAAA-Ac/2PfNEmO96jg/s72-c/re3.jpg)
MISS TANZANIA SHAKANI, LUNDENGA AKWAMA MAHAKAMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zDLD6MdNpWY/Tzts3Xyqf5I/AAAAAAAA-Ac/2PfNEmO96jg/s640/re3.jpg)
NA FLORA MWAKALASA - HABARI LEO.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na mwanzilishi wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga dhidi ya ombi la kuzuiwa kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Hakimu Mkazi Frank Moshi alitoa uamuzi huo jana baada ya kupitia hoja za pingamizi hilo lililowasilishwa na Lundenga kupitia kwa Wakili wake Audax Kahendaguza.
Akitoa uamuzi...
10 years ago
Bongo519 Nov
Lundenga: Kuendesha Miss Tanzania si jambo la mchezo!
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Lundenga akana uvumi wa Miss Tanzania kujiuzulu
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu (pichani katikati) amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).
Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...