Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AJIWEKA KANDO MGOGORO BONGO MOVIE

Stori: Mayasa Mariwata
STAA asiyekauka kwenye vyombo vya habari Bongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amesema kuwa, hawezi kujishughulisha kamwe na mgogoro ulilipo kwenye Klabu ya Bongo Movie Unity unaomtaka mwenyekiti wao, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ajiuzuru. Staa asiyekauka kwenye vyombo vya habari Bongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ Wema alifunguka alipokuwa akijibu swali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Lundenga ajiweka kando Miss Tanzania

KAMPUNI ya Lino International Agency Limited ambao ni waandaaji wa shindano la kusaka mlimbwende wa Tanzania maarufu Miss Tanzania imeteua kamati mpya itakayoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa ziwekwe kando mgogoro wa Kiteto

Wakati mgogoro kati ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto, mkoani Manyara ukipamba moto kwa kuongezeka kwa matukio ya mauaji ya kutisha na uharibifu wa mali, Serikali imekuwa ikichukua hatua kwa mwendo wa taratibu, huku wanasiasa wakitumia fursa hiyo kujinufaisha kwa kuutumia mgogoro huo kufikia malengo ya kisiasa.

 

10 years ago

GPL

KAJALA AWEKA KANDO BIFU LAKE NA WEMA

Na Imelda Mtema
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Akizungumza na paparazi wetu, Kajala alisema amefanya tathmini na kugundua mastaa wengi wamekuwa wakiambulia umaskini baada ya umaarufu kupotea hivyo ameona ashtuke mapema kwa kufanya biashara...

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani