Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lundenga akana uvumi wa Miss Tanzania kujiuzulu

HMB_3760

Na Mwandishi wetu

MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu (pichani katikati) amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).

Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga

Utata umezidi kutanda kuhusu Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye amejikoroga katika juhudi zake za kujitetea kwenye kashfa inayohusu umri wake.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Lundenga aitema Miss Tanzania

BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International  Agency,  Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye  Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.

Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Mwishoni mwa mwaka  jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia  Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji  kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya  mrembo aliyekuwa akishikilia taji  hilo, Sitti Mtevu...

 

10 years ago

Habarileo

9 years ago

Habarileo

Lundenga ajiweka kando Miss Tanzania

KAMPUNI ya Lino International Agency Limited ambao ni waandaaji wa shindano la kusaka mlimbwende wa Tanzania maarufu Miss Tanzania imeteua kamati mpya itakayoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano hayo.

 

9 years ago

Mwananchi

LUNDENGA: Miss Tanzania inakuja kivingine

Miezi saba waliyokaa kifungoni, Kamati ya Miss Tanzania haikuwa imelala; imetengeneza mfumo mpya wa mashindano ya Miss Tanzania yanayofanyika kila mwaka.

 

10 years ago

Vijimambo

MISS TANZANIA SHAKANI, LUNDENGA AKWAMA MAHAKAMANI



NA FLORA MWAKALASA - HABARI LEO. 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na mwanzilishi wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga dhidi ya ombi la kuzuiwa kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Hakimu Mkazi Frank Moshi alitoa uamuzi huo jana baada ya kupitia hoja za pingamizi hilo lililowasilishwa na Lundenga kupitia kwa Wakili wake Audax Kahendaguza.
Akitoa uamuzi...

 

10 years ago

Bongo5

Lundenga: Kuendesha Miss Tanzania si jambo la mchezo!

Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amesema kuendesha mashindano hayo si kazi ndogo. Akizungumza na Power Jams ya East Africa Radio leo, Lundenga alidai kuwa ndio maana mashindano mengine ya aina hiyo yameshindwa kudumu. Pia alitumia fursa hiyo kuwaomba radhi watanzania kwa kilichotokea hivi […]

 

10 years ago

Habarileo

Lundenga mahakamani, Miss Tanzania njia panda

MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

Lundenga alizungumzia sakata la umri wa Miss Tanzania 2014

Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akiongea na waandishi wa habari juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Mtemvu (kushoto).
Picha zaidi na kilichojili vitawajia muda si mrefu 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani