Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANKO LUNDENGA: HAKUNA MISS TANZANIA ANAYESHINDA KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO

MWASISI na muandaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, ‘Uncle Lundenga,’ amefunguka kuwa wanaoshinda Umiss Tanzania hawashindi kwa rushwa ya ngono. Lundenga (58) Mkurugenzi wa Rhino International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya urembo Tanzania ni mmoja wa wadau muhimu sana katika tasnia ya urembo, alianza kujihusisha na kuendesha mashindano hayo ya Miss Tanzania mwaka 1994 ambapo ndipo shindano la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania

Dar es Salaam.  Serikali imesema imeyafungia mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandaaji kukiuka taratibu na kanuni huku pia yakitajwa kukithiri kwa rushwa ya ngono na upendeleo.

 

10 years ago

Vijimambo

KISA RUSHWA YA NGONO MASHINDANO YA MISS TANZANIA YAFUNGWA

Mashindanoa ya Miss Tanzania
Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandalizi kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni.
Mashindano hayo yaliofunguliwa mwaka 1994 yamedaiwa kuwa na upendeleo mbali na rushwa kulingana na malalamishi yaliotolewa na wananchi pamoja na washiriki.Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini Tanzania Basata , Godfrey Mngereza,kamati ya miss Tanzania ilikiuka kanuni na taratibu zinazoongoza mashindano...

 

11 years ago

GPL

SANDRA: SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’

Na Imelda Mtema
MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa wengine. Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akizungumza na mwandishi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Utafiti unasema 60% ya akina dada wafanyakazi wamepata kazi kwa kutoa rushwa ya ngono

Kumekuwa na tabia ya wanawake kutoa rushwa ya ngono makazini Kwa Research yangu Ndogo nimegunduaAsilimia 60 ya wanawake wanaopata hivyo vitu makazini ni kwa kutoa rushwa ya ngono30 ni kwa ajili wao wana watu wanaowajua10 wao wameingia kwa njia ya kawaidaHii imetokea sana hata humu ndani wapo wahanga mbalimbali ya wanawake mbalimbali walioingia kwenye hii disaster kwa pande zote mbiliWanaume nameWanawakeNilichogundua kuwa hii kitu haiepukiki kwani kwa mfumo wa maisha ulivyo tight halafu...

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli Ya Hashim Lundenga Kuhusu Kufungiwa Kwa Miss Tanzania.

Siku kadhaa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema ” hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini ” .
Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani...

 

11 years ago

Michuzi

ANKO HASHIM LUDENGA AFUNGUKA ZAIDI KUHUSIANA NA SAKATA LA UMRI WA MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim LundengaHivi karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa mshindi.Baada ya kutangazwa huko, kukawa na mambo mengi yaliyosemwa kumhusu. Kuanzia tetesi za kuwa kadanganya umri mpaka elimu. Kuwa kuna rushwa ilitumika mpaka kusemwa ana mtoto. Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza na mitandai ya Vijimambo na Kwanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga

Utata umezidi kutanda kuhusu Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye amejikoroga katika juhudi zake za kujitetea kwenye kashfa inayohusu umri wake.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Lundenga aitema Miss Tanzania

BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International  Agency,  Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye  Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.

Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Mwishoni mwa mwaka  jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia  Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji  kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya  mrembo aliyekuwa akishikilia taji  hilo, Sitti Mtevu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani