Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA RUSHWA YA NGONO MASHINDANO YA MISS TANZANIA YAFUNGWA

Mashindanoa ya Miss Tanzania
Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandalizi kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni.
Mashindano hayo yaliofunguliwa mwaka 1994 yamedaiwa kuwa na upendeleo mbali na rushwa kulingana na malalamishi yaliotolewa na wananchi pamoja na washiriki.Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini Tanzania Basata , Godfrey Mngereza,kamati ya miss Tanzania ilikiuka kanuni na taratibu zinazoongoza mashindano...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mashindano ya Miss Tanzania yafungwa

Serikali ya Tanzania imeyafungia kwa miaka miwili mashindano ya Miss Tanzania kutokana na ukikukaji wa taratibu na kanuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania

Dar es Salaam.  Serikali imesema imeyafungia mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandaaji kukiuka taratibu na kanuni huku pia yakitajwa kukithiri kwa rushwa ya ngono na upendeleo.

 

11 years ago

GPL

ANKO LUNDENGA: HAKUNA MISS TANZANIA ANAYESHINDA KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO

MWASISI na muandaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, ‘Uncle Lundenga,’ amefunguka kuwa wanaoshinda Umiss Tanzania hawashindi kwa rushwa ya ngono. Lundenga (58) Mkurugenzi wa Rhino International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya urembo Tanzania ni mmoja wa wadau muhimu sana katika tasnia ya urembo, alianza kujihusisha na kuendesha mashindano hayo ya Miss Tanzania mwaka 1994 ambapo ndipo shindano la...

 

10 years ago

CloudsFM

MISS TANZANIA YARUHUSIWA KUENDELEA MASHINDANO

Baada ya ubishi wa kisheria mahakamani, sasa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania mwaka 2014 yatafanyika Jumamosi kama ilivyopangwa na mshindi atazawadiwa Sh18 milioni.
Lino International Agency ambao ndio waandaaji wa mashindano hayo kupitia mkurugenzi wake, Hashim Lundenga walieleza jana kuwa wameshinda pingamizi la kukataa zuio la mashindano hayo kufanyika na Ukumbi wa Mlimani City utawaka moto Jumamosi ambako mshindi wa pili ataondoka na kitita cha Sh6 milioni na yule wa tatu...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2013 KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA DESEMBA

Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, akiwa kwenye hafla hiyo.…

 

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MISS UNIVERSE TANZANIA 2015 KUANZA RASMI

MASHINDANO  ya Miss Universe Tanzania yameanza rasmi katika kumtafuta mrithi wa taji la  Miss Universe Tanzania 2015 toka kwa Caroline Bernard.
Mpaka sasa hivi waandaaji wameanza kupokea fomu na picha za warembo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania na Zanzibar.


Miongoni mwa mikoa ambayo Miss Universe Tanzania imepokea na inaendelea kupokea fomu na picha za washiriki ni  Arusha, Mwanza, Tanga, Iringa, Mbeya na Dar es Salaam. Zoezi la usaili na kupokea fomu kutoka mikoani litahitimishwa siku ya...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Tuboreshe ngazi za chini Mashindano ya Miss Tanzania

>Mashindano ya Redds Miss Tanzania 2014 yamezinduliwa rasmi juzi huku wadhamini wa mashindano hayo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakitenga Sh500 milioni kwa ajili kufanikisha mashindano hayo katika ngazi za chini.

 

10 years ago

Vijimambo

MISS TANZANIA 2013 AAHIDI MAKUBWA MASHINDANO YA UREMBO YA DUNIA

Mkurugenzi wa Lino International Agency Limited, Bw. Hashim Lundenga (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu safari ya Mrembo wa Tanzania wa mwaka 2013 kuelekea katika Mashindano ya Urembo wa Dunia (Miss World 2014) nchini Uingereza.Mshindi wa Mashindano ya Urembo Tanzania kwa mwaka 2013, Happiness Watimanywa (kushoto) akieleza jambo mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu safari yake ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani