HASHIM LUNDENGA, NINGENG’ATUKA MISS TANZANIA

Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga. akifafanua Kwako, Hashim Lundenga. Ni matumaini yangu kwamba hunifahamu licha ya kwamba majina yetu yanashabihiana. Najua jinsi jasho linavyoendelea kukutoka kutokana na changamoto kubwa unazokutana nazo, tangu ulipomtangaza Sitti Mtemvu kuwa Miss wa Tanzania 2014. Mimi si Mkurugenzi wa Lino International Agency, kampuni inayoendesha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Kauli Ya Hashim Lundenga Kuhusu Kufungiwa Kwa Miss Tanzania.

Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani...
11 years ago
Vijimambo
HASHIM LUNDENGA AKANUSHA HABARI ZA SITTI MTEMVU aka MISS TANZANIA KUJIVUA TAJI.

Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...
11 years ago
Michuzi08 Oct
11 years ago
Vijimambo29 Sep
IGP ERNEST MANGU NINGENG’ATUKA

11 years ago
GPL
IGP ERNEST MANGU NINGENG’ATUKA
10 years ago
Vijimambo22 Nov
NINGEKUWA MIMI MUHONGO, KWA HILI LA ESCROW, NINGENG’ATUKA


10 years ago
GPL
NINGEKUWA MIMI MUHONGO, KWA HILI LA ESCROW, NINGENG’ATUKA
10 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Lundenga aitema Miss Tanzania
BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.
Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Mwishoni mwa mwaka jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo, Sitti Mtevu...
11 years ago
Mwananchi22 Oct
Lundenga na Miss Tanzania wajikoroga