Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP ERNEST MANGU NINGENG’ATUKA

Kwako Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.Ni matumaini yangu kwamba hunifahamu na sitegemei kama kuna mazingira yanayoweza kunikutanisha nawe ndiyo maana nimeamua kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe wangu kwako.Mimi si mtoto wa Mzee Jumbe Mangu na mama Mwanaidi Msengi kama wewe. Sikuzaliwa mwaka 1959 kwenye Kijiji cha Kihunadi, Tarafa ya Ilongero mkoani Singida wala sikusoma Shule ya Sekondari ya Tumaini kama wewe! Mimi ni raia wa kawaida tu, mlala hoi.Nakuhakikishia kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

IGP ERNEST MANGU NINGENG’ATUKA

Kwako Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.
Ni matumaini yangu kwamba hunifahamu na sitegemei kama kuna mazingira yanayoweza kunikutanisha nawe ndiyo maana nimeamua kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe wangu kwako.
Mimi si mtoto wa Mzee Jumbe Mangu na mama Mwanaidi Msengi kama wewe. Sikuzaliwa mwaka 1959 kwenye Kijiji cha Kihunadi, Tarafa ya Ilongero mkoani Singida wala sikusoma Shule ya Sekondari ya Tumaini...

 

11 years ago

Habarileo

Ernest Mangu ndiye IGP mpya

Ernest ManguRais Jakaya Kikwete jana, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI IGP ERNEST MANGU, NISINGEPUUZIA VITISHO HIVI

Kwako Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.
Najua una taarifa juu ya kusambaa kwa video inayomuonesha mwanaume mmoja anayedai kuwa ni kiongozi wa kundi la wanaharakati wa kidini, Kais bin Abdullah aliyojirekodi akitoa vitisho vikali kwa jeshi la polisi, waziri mkuu, serikali na waumini wa dini tofauti na yake. Nilishawahi kuzungumza nawe siku za nyuma kwamba mwenendo wa jeshi la polisi, unaonekana kulegalega...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu atembelea mkoa wa Katavi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Col mstaafu Issa Njiku,  kutoka kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, SACP Jacob Mwaruanda na kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi SACP Dhahir Kidavashari, akiwa mkoani humo, jana katika ziara ya kikazi Mkuu wa Jeshi la Polisi  (IGP) Ernest Mangu, (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa katavi,(hawapo pichani) kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP ERNEST MANGU AKUTANA NA MASHEIKH WA MIKOANI NA MAIMAMU WA MISIKITI

Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa kikao cha muendelezo wa kampeni ya familia yetu haina mhalifu kilichoratibiwa na taasisi ya kiislamu ya Mwinyi  Baraka. Picha na Hassan Mdeme- wa Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akiwa na  Mufti na Sheikh mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akutana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti

 Mkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa   kikao cha muendelezo wa  kampeni ya familia yetu haina mhalifu kilichoratibiwa na taasisi ya kiislamu ya Mwinyi  Baraka. Picha na Hassan Mdeme- wa Jeshi la PolisiMkuu wa Jeshi la Polisi  nchini IGP Ernest Mangu  akiwa na  Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Shabani Simba na viongozi wengine wa dini ya kiislamu wakati wakiingia katika...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP ERNEST MANGU KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI, JIJINI DAR

Katika jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Jeshi la Magereza katika kujenga na kudumisha mahusiano baina ya Askari na Maafisa wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, tarehe 22 Juni, 2015 saa 3:00 asubuhi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest J. Mangu(pichani) anatarajia kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili, katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo ambayo yamechukua muda wa miezi minne yalilenga kuwaandaa Maafisa kuwa viongozi wa kati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani