Diwani aadhibiwa kufua shuka za hospitali
DIWANI wa Kata ya Kasanda wilayani Kakonko, Dickson Barutwa (40) wa Chadema na wenzake watatu, wamehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kibondo mkoani hapa adhabu ya kufua shuka za wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani kwa siku 14 baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi09 Apr
MAHAKAMA YAMPA ADHABU YA KUFUA MASHUKA YA HOSPITAL DIWANI WA CHADEMA
MAHAKAMA ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imempa adhabu ya kufua mashuka ya wagonjwa katika hospital ya Wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani Diwani wa kata ya Kasanda kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yeye na wenzake wanne kwa muda wa siku kumi na nne baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
Mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Wilaya ya Kibondo Erick Marley,mwendesha mashitaka wa polisi Peter Makala...
9 years ago
Habarileo29 Dec
Mbunge ajipa miezi 6 kero ya shuka hospitali
MBUNGE wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka ameahidi kumaliza tatizo la shuka katika Hospitali ya Rufaa ya Kitete, mkoani Tabora katika kipindi cha miezi sita ijayo.
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Diwani Bukoba asomewa mashtaka akiwa Hospitali
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Mchezaji aliyemtongoza mwanahabari aadhibiwa
10 years ago
Vijimambo01 Oct
Aadhibiwa kwa kusujudu uwanjani
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/09/30/140930094612_mchezaji_wa_kansas_city__husain_abdullah_aadhibiwa_kwa_kuomba_baada_ya_kufunga_bao_624x351_bbc_nocredit.jpg)
Refarii alimwadhibu papo hapo Abdullah alipoinuka baada ya kusheherekea kwa kupiga sijida.
Aliyekuwa refarii wa zamani wa NFL Mike Pereira alisema kuwa sio hatia mtu kupiga sijida.
Tukio hilo linawadia wakati ambapo ligi hiyo inapigwa msasa kufuatia utovu wa nidhamu mbali na tuhuma chungu...
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Kocha wa Kenya aadhibiwa na CAF
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Aliyempiga kichwa mwamuzi aadhibiwa
10 years ago
Habarileo26 Aug
Msolwa kufua umeme wa maji
SHIRIKA la Kanisa Katoliki la Stig Martin Fathers, linajenga mradi wa kufua umeme wa maji katika Kijiji cha Msolwa Kata ya Kisanga wilayani Kilosa, utakaogharimu Sh bilioni 9 hadi utakapokamilika. Rais Jakaya Kikwete aliweka jiwe la msingi la mradi huo wa umeme, juzi.
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
George Michael wa Ruvu aadhibiwa