Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aadhibiwa kwa kusujudu uwanjani

Mchezaji wa Kansas City Chiefs Husain Abdullah aliadhibiwa vikali na refarii baada ya kupiga sijida baada ya kufunga bao katika mchezo wa football ya Marekani Kansas walipoinyuka New England Patriots 41-14.

Refarii alimwadhibu papo hapo Abdullah alipoinuka baada ya kusheherekea kwa kupiga sijida.

Aliyekuwa refarii wa zamani wa NFL Mike Pereira alisema kuwa sio hatia mtu kupiga sijida.

Tukio hilo linawadia wakati ambapo ligi hiyo inapigwa msasa kufuatia utovu wa nidhamu mbali na tuhuma chungu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Bieber aadhibiwa kwa kufanya uharibifu

Mwanamuziki maarufu wa Marekani Justin Bieber amekiri kosa la kufanya uharibifu katika nyumba ya jirani yake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Aadhibiwa kwa kutokwenda haja chooni

Polisi Tanzania imemkamata mwanamume aliyemfungia na kumtesa mwanawe kwa miezi saba ndani ya nyumba kwa kutokwenda haja chooni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Poyet aadhibiwa kwa kuzua purukushani

Kocha wa Sunderland Gus Poyet ameadhibiwa kwa kumshambulia mwenzake wa Hull City

 

11 years ago

Michuzi

ankal aadhibiwa kwa kuvamia mnuso wa watu...

Ankal akiwa na wadau katika mnuso mmoja hivi karibuni jijini Dar es salaam, akionesha madhara ya kuvunja geti (gate crash) maana dress code ilikuwa kanzu na koti na makubadhi. Yeye kaulamba kivingine, adhabu yake ikawa kuchukuliwa kwa taswira hii ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF:Hatuhukumu matukio uwanjani kwa ushahidi wa teknologia

Shirikisho la mpira nchini Tanzania (TFF) limesema kuwa kanuni haziruhusu kupata matukio ya ugomvi uwanjani kwa kutumia ushahidi wa TV, redio au magazeti.

 

5 years ago

BBCSwahili

Burnely yatiwa aibu kwa bango la ubaguzi wa rangi uwanjani

Burnley wameaibika baada ya bango lililokuwa na maneno 'Maisha ya wazungu ni muhimu Burnley' kupeperushwa na ndege moja katika uwanja wa Etihad.

 

9 years ago

Bongo5

Cristiano Ronaldo aonesha mapenzi kwa shabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya dhidi ya PSG iliyochezwa jijini Paris, Ufaransa ameonesha mapenzi ya juu kwa shabiki aliyevamia uwanjani. Shabiki huyo alivamia uwanjani wakati Madrid ikipambana na PSG na alipomfikia Ronaldo, alimpokea na kumkumbatia. Hata wakati walinzi wa uwanjani wanaingia ili kumtoa, […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Kenya aadhibiwa na CAF

Adel Amrouche amefungiwa mechi kwa mwaka 1 kwa madai ya kumtemea mate afisa wa soka

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyempiga kichwa mwamuzi aadhibiwa

Mchezaji wa timu ya SK Rum ya nchini Austria amefungiwa kutocheza mechi 70kama adhabu kwa kumpiga kichwa mwamuzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani