Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Poyet aadhibiwa kwa kuzua purukushani

Kocha wa Sunderland Gus Poyet ameadhibiwa kwa kumshambulia mwenzake wa Hull City

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Aadhibiwa kwa kusujudu uwanjani

Mchezaji wa Kansas City Chiefs Husain Abdullah aliadhibiwa vikali na refarii baada ya kupiga sijida baada ya kufunga bao katika mchezo wa football ya Marekani Kansas walipoinyuka New England Patriots 41-14.

Refarii alimwadhibu papo hapo Abdullah alipoinuka baada ya kusheherekea kwa kupiga sijida.

Aliyekuwa refarii wa zamani wa NFL Mike Pereira alisema kuwa sio hatia mtu kupiga sijida.

Tukio hilo linawadia wakati ambapo ligi hiyo inapigwa msasa kufuatia utovu wa nidhamu mbali na tuhuma chungu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Aadhibiwa kwa kutokwenda haja chooni

Polisi Tanzania imemkamata mwanamume aliyemfungia na kumtesa mwanawe kwa miezi saba ndani ya nyumba kwa kutokwenda haja chooni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bieber aadhibiwa kwa kufanya uharibifu

Mwanamuziki maarufu wa Marekani Justin Bieber amekiri kosa la kufanya uharibifu katika nyumba ya jirani yake.

 

11 years ago

Michuzi

ankal aadhibiwa kwa kuvamia mnuso wa watu...

Ankal akiwa na wadau katika mnuso mmoja hivi karibuni jijini Dar es salaam, akionesha madhara ya kuvunja geti (gate crash) maana dress code ilikuwa kanzu na koti na makubadhi. Yeye kaulamba kivingine, adhabu yake ikawa kuchukuliwa kwa taswira hii ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

 

10 years ago

Vijimambo

Purukushani bungeni nchini Kenya

wabunge wakiwa katika vikao bungeni
Wabunge wa Kenya wametofautiana vikali bungeni na kuvuana mashati huku wakirushiana ngumi kufuatia mjadala kuhusu mswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa wakenya.

Bunge lililazimika kuahirisha vikao vyake kwa dakika 30 badala ya kujadili mswada tatanishi kuhusu usalama wa nchi. Kikao cha leo kilikuwa kikao maalum ambacho kilipaswa kupitisha mswada huo ambao baadaye utaidhinishwa na Rais kuwa sheria.

Wabunge wa upinzani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sunderland yamtimua Gus Poyet

Klabu ya ligi kuu ya Uingereza Sunderland imemtimua Gus Poyet kufuatia msururu wa matokeo duni

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyempiga kichwa mwamuzi aadhibiwa

Mchezaji wa timu ya SK Rum ya nchini Austria amefungiwa kutocheza mechi 70kama adhabu kwa kumpiga kichwa mwamuzi

 

10 years ago

BBCSwahili

George Michael wa Ruvu aadhibiwa

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia mechi tatu,beki George Michael Osei wa Ruvu Shooting .

 

11 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Kenya aadhibiwa na CAF

Adel Amrouche amefungiwa mechi kwa mwaka 1 kwa madai ya kumtemea mate afisa wa soka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani