Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Purukushani bungeni nchini Kenya

wabunge wakiwa katika vikao bungeni
Wabunge wa Kenya wametofautiana vikali bungeni na kuvuana mashati huku wakirushiana ngumi kufuatia mjadala kuhusu mswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa wakenya.

Bunge lililazimika kuahirisha vikao vyake kwa dakika 30 badala ya kujadili mswada tatanishi kuhusu usalama wa nchi. Kikao cha leo kilikuwa kikao maalum ambacho kilipaswa kupitisha mswada huo ambao baadaye utaidhinishwa na Rais kuwa sheria.

Wabunge wa upinzani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kizaazaa bungeni nchini Kenya

Kulikuwa na kizaazaa kwenye bunge la Kenya siku ya Alhamisi baada ya wabunge wa upinzani kuvuruga kikao maalum kilichoitishwa kujadili mswada mpya wenye utata kuhusu usalama.

 

10 years ago

GPL

NGUMI ZAPIGWA BUNGENI NCHINI KENYA

Seneta Johnston Muthama aliyejeruhiwa mguuni na kuchaniwa suruali yake wakati wa vurugu bungeni leo. WABUNGE nchini Kenya leo wametofautiana bungeni na kuamua kutupiana makonde huku wengine wakichaniana nguo kufuatia mjadala kuhusu muswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa Wakenya. Bunge nchini Kenya. Bunge lililazimika kuahirisha vikao vyake kwa dakika 30 kufuatia mtafaruku… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Poyet aadhibiwa kwa kuzua purukushani

Kocha wa Sunderland Gus Poyet ameadhibiwa kwa kumshambulia mwenzake wa Hull City

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715

Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mfumo dume wadhihirika bungeni Kenya

Wabunge wanaume wamependekeza kuwa sio lazima mume kumuomba ruhusa mke wa kwanza anapotaka kuoa mke wa pili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Naibu spika amwagiwa maji bungeni Kenya

Kikao cha adhuhuri cha wabunge nchini Kenya,kikiendelea kuzua hisia kali huku wabunge wakiendelea kuvurugana humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mswada tata wazua vurugu bungeni Kenya

Wabunge wa Kenya wametofautiana pakubwa bungeni kufuatia mjadala mkali kuhusu mswaada tatanishi wa usalama kiasi cha kulazimisha bunge kusitisha kikao kwa muda

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge adai kuvuliwa nguo bungeni,Kenya

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya sasa amejitokeza na kudai kwamba wabunge watatu wanaume walijaribu kumvua nguo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani