NGUMI ZAPIGWA BUNGENI NCHINI KENYA
Seneta Johnston Muthama aliyejeruhiwa mguuni na kuchaniwa suruali yake wakati wa vurugu bungeni leo. WABUNGE nchini Kenya leo wametofautiana bungeni na kuamua kutupiana makonde huku wengine wakichaniana nguo kufuatia mjadala kuhusu muswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa Wakenya. Bunge nchini Kenya. Bunge lililazimika kuahirisha vikao vyake kwa dakika 30 kufuatia mtafaruku… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Feb
NGUMI ZAPIGWA MBAGALA
10 years ago
Vijimambo02 Nov
NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA
![](http://api.ning.com/files/*SUYvb1OXSvrf1macfP7aK7EikC6XFrLihLEHGBikSA9h8gjK9CgyeU-iIUkMzud1NQGWFEtXwmyH710W0h*-fvofLlmD8tY/warioba2.jpg?width=650)
VURUGU zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea hivi punde katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba.
Vurugu hizo zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango kuvamia ukumbuni hapo na kusababisha baadhi ya watu waliokuwa wanafuatilia mdahalo huo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
VURUGU: NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA
10 years ago
Vijimambo19 Dec
Purukushani bungeni nchini Kenya
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/18/141218084649_kenya_bunge_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Wabunge wa Kenya wametofautiana vikali bungeni na kuvuana mashati huku wakirushiana ngumi kufuatia mjadala kuhusu mswada tatanishi wa usalama ambao wabunge wa upinzani wanasema unakiuka uhuru wa wakenya.
Bunge lililazimika kuahirisha vikao vyake kwa dakika 30 badala ya kujadili mswada tatanishi kuhusu usalama wa nchi. Kikao cha leo kilikuwa kikao maalum ambacho kilipaswa kupitisha mswada huo ambao baadaye utaidhinishwa na Rais kuwa sheria.
Wabunge wa upinzani...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Kizaazaa bungeni nchini Kenya
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Ngumi bungeni
MWENENDO wa Bunge Maalumu la Katiba ambao umekuwa ukionyesha kila dalili za kutokea vurugu kutokana na namna wajumbe wanavyojadili rasimu ya kanuni za Bunge hilo, umedhihirika jana baada ya kuibuka...
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Ngumi mkononi bungeni
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Siioni Katiba mpya, nasubiri ngumi bungeni
NIMESOMA majina 201 yaliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuunda Bunge Maalumu ya Katiba, nimebaini uwepo wa safari ndefu kufikia kile wengi wetu tulichokuwa tukitarajia. Bunge Maalumu la Katiba ndilo litakalopitia...