NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA
Jaji Warioba.
VURUGU zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea hivi punde katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba.
Vurugu hizo zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango kuvamia ukumbuni hapo na kusababisha baadhi ya watu waliokuwa wanafuatilia mdahalo huo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
VURUGU: NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA
11 years ago
Michuzi24 Feb
NGUMI ZAPIGWA MBAGALA
10 years ago
GPLNGUMI ZAPIGWA BUNGENI NCHINI KENYA
11 years ago
Habarileo03 Nov
Vurugu zavunja mdahalo Katiba
MDAHALO wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana uliingia dosari na kuahirishwa baada ya kuibuka kundi la vijana lililokuwa na mabango mbalimbali na kusababisha hali ya hewa ndani ya eneo hilo kuvurugika.
11 years ago
Habarileo04 Nov
Vurugu mdahalo Katiba zalaaniwa
MAKUNDI mbalimbali ya watu wakiwemo wasomi na vyama vya siasa wamejitokeza kulaani vurugu zilizoibuka juzi katika mdahalo wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na kusisitiza kwamba vitendo kama hivyo siyo vya kufumbia macho, kwani vinahatarisha amani ya nchi.
11 years ago
BBCSwahili03 Nov
Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba
11 years ago
Vijimambo03 Nov
PICHA ZA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ULIVYOVUNJIKA
11 years ago
Mwananchi04 Nov
Tunalaani vurugu hizi mdahalo wa Katiba
10 years ago
GPLMDAHALO WA KATIBA WAFANYIKA LEO MWANZA