Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tume ya Warioba kushiriki mdahalo

 Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa pili wenye lengo la kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba Inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Mdahalo wa Jaji Warioba kesho Dar

Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeandaa mdahalo maalumu wa Katiba utakaofanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City ambao mzungumzaji mkuu atakuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi mkali mdahalo wa Jaji Warioba leo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema ulinzi utaimarishwa kabla, wakati na baada ya mdahalo maalumu wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam mzungumzaji mkuu akiwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Habarileo

Vurugu mdahalo Katiba zalaaniwa

Aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Paul MakondaMAKUNDI mbalimbali ya watu wakiwemo wasomi na vyama vya siasa wamejitokeza kulaani vurugu zilizoibuka juzi katika mdahalo wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na kusisitiza kwamba vitendo kama hivyo siyo vya kufumbia macho, kwani vinahatarisha amani ya nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Vurugu zavunja mdahalo Katiba

Jaji Joseph WariobaMDAHALO wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana uliingia dosari na kuahirishwa baada ya kuibuka kundi la vijana lililokuwa na mabango mbalimbali na kusababisha hali ya hewa ndani ya eneo hilo kuvurugika.

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ULIVYOVUNJIKA

Jaji Joseph Warioba akitoa mada. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Saam leo.Baadhi ya vijana walioingia na mabango ndani ya ukumbi wa mkutano wakiwa na mabango yaliyokuwa yakisomeka ‘Katiba inayopendekezwa tumeipokea tunaiunga mkono’.Mlinzi wa Jaji Joseph Warioba (kushoto) akimkinga kwa mikono ili asipate madhara baada ya mdahalo wa kujadili Katiba...

 

10 years ago

GPL

MDAHALO WA KATIBA WAFANYIKA LEO MWANZA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasili jioni ya leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini mwanza.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani