Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MDAHALO WA KATIBA WAFANYIKA LEO MWANZA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasili jioni ya leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini mwanza.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mdahalo wa Katiba kufanyika leo jijini Mwanza

Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia katika Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUKUZA UTALII WAFANYIKA LEO JIJINI MWANZA

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema leo asubuhi jijini Mwanza.Ndugu Kijazi alisema kuwa Utalii ni sekta mtambuka na inachochea ukuaji wa sekta nyingine ikiwa ni pamoja na kilimo, usafirishaji wa anga na barabara, huduma za fedha, huduma za chakula na malazi kudorora kwa sekta nyinginezo.  "Hivyo kudorora kwa sekta hii huchangia kwa kiasi kikubwa kudorora kwa sekta nyingine. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mdahalo wa wagombea Urais Tanzania wafanyika, Magufuli, Lowassa washindwa kuhudhuria

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali.  Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa...

 

10 years ago

GPL

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA WAFANYIKA, MAGUFULI, LOWASSA WASHINDWA KUHUDHURIA‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza...

 

11 years ago

Habarileo

Vurugu zavunja mdahalo Katiba

Jaji Joseph WariobaMDAHALO wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana uliingia dosari na kuahirishwa baada ya kuibuka kundi la vijana lililokuwa na mabango mbalimbali na kusababisha hali ya hewa ndani ya eneo hilo kuvurugika.

 

11 years ago

Habarileo

Vurugu mdahalo Katiba zalaaniwa

Aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Paul MakondaMAKUNDI mbalimbali ya watu wakiwemo wasomi na vyama vya siasa wamejitokeza kulaani vurugu zilizoibuka juzi katika mdahalo wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na kusisitiza kwamba vitendo kama hivyo siyo vya kufumbia macho, kwani vinahatarisha amani ya nchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya.

 

11 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ULIVYOVUNJIKA

Jaji Joseph Warioba akitoa mada. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Saam leo.Baadhi ya vijana walioingia na mabango ndani ya ukumbi wa mkutano wakiwa na mabango yaliyokuwa yakisomeka ‘Katiba inayopendekezwa tumeipokea tunaiunga mkono’.Mlinzi wa Jaji Joseph Warioba (kushoto) akimkinga kwa mikono ili asipate madhara baada ya mdahalo wa kujadili Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani