Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume ya Warioba kushiriki mdahalo

 Taasisi ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa pili wenye lengo la kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba Inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya.

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea,urais,wenza washindwa kuthibitisha kushiriki mdahalo

Kamati ya maandalizi ya midahalo ya wagombea urais na wagombea wenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imelazimika kuongeza muda wa uthibitisho, baada ya wagombea kushindwa kuthibitisha ushiriki wao kwa barua.

 

10 years ago

Mwananchi

Mdahalo wa Jaji Warioba kesho Dar

Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeandaa mdahalo maalumu wa Katiba utakaofanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City ambao mzungumzaji mkuu atakuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi mkali mdahalo wa Jaji Warioba leo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema ulinzi utaimarishwa kabla, wakati na baada ya mdahalo maalumu wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam mzungumzaji mkuu akiwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi mnakaribishwa kushiriki mdahalo wa Katiba MCC Musoma tarehe 24 Januari, 2015

PIX10

Marais wote wa Tanzania Bara Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wakionyesha juu Katiba inayopendekezwa ili wananchi waweze kuziona wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo mwaka jana  tarehe 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma. Kulia ni Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta. (Picha na Maktaba).

Press Musoma.docx by moblog

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Sikuidhalilisha Tume ya Warioba

 Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hakuwa na nia ya kuidhalilisha Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati alipohutubia kulifungua Bunge Maalumu la Katiba, wiki mbili zilizopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe aishambulia Tume ya Warioba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Assumpta Mshama, ameishambulia Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kusema kuwa licha ya usomi wa wajumbe waliopo, lakini wameandaa kitu ambacho kinataka kuwagawa Watanzania....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe Tume ya Warioba alipuka

IMEELEZWA kuwa wanaoshinikiza serikali mbili katika uundwaji wa katiba ni sawa na wanyonyaji wa taifa. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la...

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Neville Meena na Fidelis Butahe, Mwananchi Dodoma. Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya. Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea mapendekezo kutoka kwa watu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani