Wagombea,urais,wenza washindwa kuthibitisha kushiriki mdahalo
Kamati ya maandalizi ya midahalo ya wagombea urais na wagombea wenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imelazimika kuongeza muda wa uthibitisho, baada ya wagombea kushindwa kuthibitisha ushiriki wao kwa barua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Wagombea urais wajivuta kuthibitisha ushiriki mdahalo
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mdahalo wa wagombea Urais Tanzania wafanyika, Magufuli, Lowassa washindwa kuhudhuria
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/134.jpg)
MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA WAFANYIKA, MAGUFULI, LOWASSA WASHINDWA KUHUDHURIA
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Mdahalo wa wagombea urais Oktoba 18
9 years ago
MichuziMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA
10 years ago
Habarileo10 Jun
Wagombea urais wakacha mdahalo Dar
WAGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), juzi walikimbia mdahalo wa kupambana kwa hoja ulioandaliwa na wenyeviti wa sekta binafsi na kujulikana kama ‘CEO round table of Tanzania’.
10 years ago
Vijimambo09 Jun
MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA
![IMG-20150608-WA0032](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150608-WA0032.jpg?resize=469%2C350)
10 years ago
GPLMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Wagombea urais wachuana mdahalo wa Twaweza
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAGOMBEA urais wa vyama vya ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Lutasola Yemba, Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashimu Rungwe na Chama cha Tanzania Labor (TLP), Macmillan Lyimo wamechuana katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza.
Mdahalo huo uliofanyika Dar es Salaam jana uliwashirikisha wagombea hao huku mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha...