MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA
Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote.Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo>>>”Sauti yake nimeirekodi pia na unaweza kuisikiliza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA
10 years ago
MichuziMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA NA KUHUDHURIWA NA MGOMBEA MMOJA AMINA SALUM ALI
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Mdahalo wa wagombea urais Oktoba 18
9 years ago
MichuziMDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA
10 years ago
Habarileo10 Jun
Wagombea urais wakacha mdahalo Dar
WAGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), juzi walikimbia mdahalo wa kupambana kwa hoja ulioandaliwa na wenyeviti wa sekta binafsi na kujulikana kama ‘CEO round table of Tanzania’.
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Wagombea urais wachuana mdahalo wa Twaweza
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAGOMBEA urais wa vyama vya ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Lutasola Yemba, Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashimu Rungwe na Chama cha Tanzania Labor (TLP), Macmillan Lyimo wamechuana katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza.
Mdahalo huo uliofanyika Dar es Salaam jana uliwashirikisha wagombea hao huku mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
VIDEO — MDAHALO WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR 20/09/2015
The post VIDEO – MDAHALO WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR 20/09/2015 appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Wagombea urais wajivuta kudhibitisha ushiriki mdahalo
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Wagombea urais wajivuta kuthibitisha ushiriki mdahalo