Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunalaani vurugu hizi mdahalo wa Katiba

Tumesikitishwa sana na vurugu zilizotokea juzi wakati wa mdahalo wa Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vurugu zavunja mdahalo Katiba

Jaji Joseph WariobaMDAHALO wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana uliingia dosari na kuahirishwa baada ya kuibuka kundi la vijana lililokuwa na mabango mbalimbali na kusababisha hali ya hewa ndani ya eneo hilo kuvurugika.

 

10 years ago

Habarileo

Vurugu mdahalo Katiba zalaaniwa

Aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Paul MakondaMAKUNDI mbalimbali ya watu wakiwemo wasomi na vyama vya siasa wamejitokeza kulaani vurugu zilizoibuka juzi katika mdahalo wa kujadili Katiba Inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, na kusisitiza kwamba vitendo kama hivyo siyo vya kufumbia macho, kwani vinahatarisha amani ya nchi.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA VURUGU ZILIZOHARIBU MDAHALO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba kabla ya vurugu kutokea. Baadhi ya vijana walioingia na…

 

10 years ago

GPL

VURUGU: NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA

Jaji Warioba. VURUGU zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea hivi punde katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Vurugu hizo zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango kuvamia ukumbuni hapo na...

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu hizi ni ukosefu wa nidhamu polisi

Ukizisoma Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi (Police General Orders) au kwa kifupi PGO, zimetoa mwongozo mzuri wa namna ya kutekeleza majukumu ya kipolisi. Lakini kubwa zaidi ni usimamizi wa nidhamu kwa askari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vurugu hizi kwenye uchaguzi hapana

JUMAPILI iliyopita, kata 27 nchini zilifanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi zilizoachwa wazi na waliokuwa madiwani wake kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za vifo na kujiuzulu. Vyama mbalimbali vilishiriki uchaguzi huo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Vurugu hizi kwenye kampeni ni ishara mbaya

Wiki iliyopita tulitoa pongezi kwa vyama vya siasa kwa kuanza kampeni kistaarabu na mikutano mingi kutoingiliwa na vurugu, isipokuwa kwenye sehemu chache ambazo viongozi walidiriki kutoa maneno yasiyostahili dhidi ya wapinzani wao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya.

 

10 years ago

GPL

MDAHALO WA KATIBA WAFANYIKA LEO MWANZA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasili jioni ya leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini mwanza.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani