Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF:Hatuhukumu matukio uwanjani kwa ushahidi wa teknologia

Shirikisho la mpira nchini Tanzania (TFF) limesema kuwa kanuni haziruhusu kupata matukio ya ugomvi uwanjani kwa kutumia ushahidi wa TV, redio au magazeti.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani …

Mtu wangu wa nguvu ikiwa leo Alhamisi ya December 24 ndio ile siku yetu ya kupost matukio mbalimbali ya zamani katika mitandao ya kijamii na kujikumbushia, naomba nikurudishe nyuma kidogo kwa matukio kadhaa ya soka. December 24 naomba nikukumbushie au nikusogezee video ya dakika 8 ya matukio ya staa wa soka kutokea Brazil Ronaldinho Gaucho, haya ndio […]

The post Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani … appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

TFF kumchukulia hatua mchezaji ‘anayewapiga dole’ wenzie uwanjani, Juma Nyoso

Cheza mbali na Juma Nyoso lasivyo atakupiga dole! Camera zilimnasa Nyoso akimpiga dole mchezaji wa Azam, Bocco Beki huyo wa Mbeya City amerudia tena kitendo hicho cha kudhalilisha wachezaji wenzake wake uwanjani kiasi ambacho TFF imeahidi kumchukulia hatua kali zaidi awamu hii. “Udhalilishaji uliofanywa leo na mchezaji mmoja wa timu ya ligi kuu tumeuona,hatua kali […]

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

11 years ago

Ykileo

TEKNOLOGIA NA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA MTANDAO.

Teknolojia bado inaendelea kukua kila siku, Mambo mengi yame endelea kugundulika kupitia teknolojia hii leo. Pia Teknolojia imeendelea kusaidia urahisishaji wa mambo mengi sana ambayo awali yalikua ni magumu au kuchukua muda mrefu kukamilika.

Kama ilivyo katika maswala mbalimbali, Teknolojia nayo ina changamoto zake. Kwenye ukurasa huu kumekua kukijadiliwa changamoto mbali mbali kila kukicha za kiusalama mtandao. Baadhi ya vitu  vitakavyo onekana katika video hapo chini ni pamoja na mambo...

 

11 years ago

Vijimambo

Aadhibiwa kwa kusujudu uwanjani

Mchezaji wa Kansas City Chiefs Husain Abdullah aliadhibiwa vikali na refarii baada ya kupiga sijida baada ya kufunga bao katika mchezo wa football ya Marekani Kansas walipoinyuka New England Patriots 41-14.

Refarii alimwadhibu papo hapo Abdullah alipoinuka baada ya kusheherekea kwa kupiga sijida.

Aliyekuwa refarii wa zamani wa NFL Mike Pereira alisema kuwa sio hatia mtu kupiga sijida.

Tukio hilo linawadia wakati ambapo ligi hiyo inapigwa msasa kufuatia utovu wa nidhamu mbali na tuhuma chungu...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA HUAWEI YASAIDIA KATIKA ELIMU NA TEKNOLOGIA HAPA NCHINI

Balozi wa China nchini Tanzania Dr.Lu Youqing (katikati) akipata maelekezo kuhusu bidhaa za Huawei wakati wa mkutano wa watanzania waishio uhaibuni (Tanzania Diaspora).Kushoto ni Afisa mahusianao na habari,Jimmy na kulia ni Meneja wa bidhaa na huduma wa Huawei hapa nchini, Joseph Lyimo Huawei walikua ni wazamini wakuu wa mkutano huo ulifanyika jijini Dar es salaam katika hoteli ya Serena  Augost 14 mwaka huu.
  Dr.Lu Youqing lieleza kuwa sasa hivi China na Tanzania wana ushirikiano mzuri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi 82 zafutwa kwa kukosa ushahidi

KESI 82 zilizokaa muda mrefu zimefutwa mkoani Kagera kwa kukosa ushahidi wa kutosha katika kipindi cha mwaka 2012/2013.  Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Sheria nchini, jana Mwanasheria Mfawidhi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Burnely yatiwa aibu kwa bango la ubaguzi wa rangi uwanjani

Burnley wameaibika baada ya bango lililokuwa na maneno 'Maisha ya wazungu ni muhimu Burnley' kupeperushwa na ndege moja katika uwanja wa Etihad.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani