Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi 82 zafutwa kwa kukosa ushahidi

KESI 82 zilizokaa muda mrefu zimefutwa mkoani Kagera kwa kukosa ushahidi wa kutosha katika kipindi cha mwaka 2012/2013.  Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Sheria nchini, jana Mwanasheria Mfawidhi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Panya Road 119 Waachiwa Kwa Kukosa Ushahidi, 959 Wafikishwa Mahakani

Vijana 119 ambao walikamatwa katika msako wa Panya Road Wameachiwa na Polisi baada ya Kukosa Ushahidi wa Moja kwa Moja ambao unawahusisha na tukio hilo ..Kamanda wa Polisi kanda ya Dar salaam Kova amesema japo wamewaachia wataendelea kufuatilia nyendo zao huko mtaani ,Pamoja na Kuwaachia hao kamanda Kova Amesema Vijana 959 wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma hizo za kujihushisha na kikundi cha panya Road

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi dhidi ya wanajeshi 11 wa Rwanda zafutwa

Mahakama Uhispania imefutilia mbali kesi dhidi ya wanajeshi 11 kati ya 40 walioshtakiwa 2008 kwa tuhuma za kutekeleza mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994.

 

10 years ago

GPL

FLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI

Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. KESI ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri. Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ushahidi wakwamisha kesi dhidi ya ukatili kwa albino

image004 (8)

Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari jamii na Mkufunzi Bi Rose Haji Mwalimu (aliyesimama) wakati wa ufunguzi kijiji cha Usagara, wilayani Misungwi mkoani Mwanza hivi karibuni.

Na Modewjiblog team, Mwanza

Tabia ya watu kukwepa kutoa ushahidi mahakamani ni sababu mojawapo ya wahalifu wa mauaji ya albino kutotiwa hatiani na kuachiwa huru.

Hayo yameelezwa katika warsha zilizoendeshwa mfululizo wilayani Misungwi, Kahama na Bariadi za ushirikishwaji wa jamii katika kuzuia na kutokomeza...

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’

>Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, umekiri kuwa hauna ushahidi huru kwa baadhi ya washtakiwa katika kesi hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

MASHAHIDI 28 KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA MAWILI YA MKAA

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV .
JUMLA ya mashahidi 28 akiwemo Mtaalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Hadija Mwema wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said Luongo (38) anayedaiwa kumuua mke wake kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa.
Mbali na mashahidi hao, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) atawasilisha mahakamani hapo vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio la mauaji, maelezo ya onyo ya mshitakiwa, ungamo la mshitakiwa kwa mlinzi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ushahidi kesi ya Mramba wafutwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.

 

11 years ago

Mwananchi

Ushahidi kesi ya Mbasha Agosti 22

Ushahidi wa kesi inayomkabili mwimbaji wa nyimbo za injili, Emmanuel Mbasha utaanza kusikilizwa Agosti 22, mwaka huu katika Mahakama ya Wilaya Ilala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani