Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushahidi wakwamisha kesi dhidi ya ukatili kwa albino

image004 (8)

Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari jamii na Mkufunzi Bi Rose Haji Mwalimu (aliyesimama) wakati wa ufunguzi kijiji cha Usagara, wilayani Misungwi mkoani Mwanza hivi karibuni.

Na Modewjiblog team, Mwanza

Tabia ya watu kukwepa kutoa ushahidi mahakamani ni sababu mojawapo ya wahalifu wa mauaji ya albino kutotiwa hatiani na kuachiwa huru.

Hayo yameelezwa katika warsha zilizoendeshwa mfululizo wilayani Misungwi, Kahama na Bariadi za ushirikishwaji wa jamii katika kuzuia na kutokomeza...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

INSPEKTA WA POLISI ATOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA

Na Daniel Mbega, Mwanza
SHAHIDI wa sita katika kesi ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkaguzi wa Polisi (Inspector) David Mhanaya, ameanza kutoa ushahidi wake leo hii katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.

Mbele ya Jaji Robert Makaramba anayesikiliza Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014, shahidi huyo ametumia siku nzima kutoa ushahidi wake akiongozwa na mawakili wa serikali Emil Kiria, Esther Majaliwa na Robert Kilando.

Hata hivyo, Jaji Makaramba aliahirisha kesi hiyo hadi...

 

10 years ago

Michuzi

INSPEKTA WA POLISI AANZA KUTOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA

Na Daniel Mbega, MwanzaSHAHIDI wa sita katika kesi ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkaguzi wa Polisi (Inspector) David Mhanaya, ameanza kutoa ushahidi wake leo hii katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.Mbele ya Jaji Robert Makaramba anayesikiliza Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014, shahidi huyo ametumia siku nzima kutoa ushahidi wake akiongozwa na mawakili wa serikali Emil Kiria, Esther Majaliwa na Robert Kilando.Hata hivyo, Jaji Makaramba aliahirisha kesi hiyo hadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi 82 zafutwa kwa kukosa ushahidi

KESI 82 zilizokaa muda mrefu zimefutwa mkoani Kagera kwa kukosa ushahidi wa kutosha katika kipindi cha mwaka 2012/2013.  Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Sheria nchini, jana Mwanasheria Mfawidhi wa...

 

10 years ago

GPL

FLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI

Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. KESI ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri. Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...

 

10 years ago

Habarileo

Wasabato walaani ukatili kwa albino

KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.

 

10 years ago

Habarileo

Kamani: Nitakomesha ukatili kwa albino

Dk Titus Kamani WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani anayewania urais wa Tanzania kupitia CCM, amemaliza kutafuta wadhamini katika mikoa 15 nchini, huku akitaja moja ya vipaumbele vyake ni kupambana na wote wenye imani za kishirikina ambazo zinawafanya waue watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’

>Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, umekiri kuwa hauna ushahidi huru kwa baadhi ya washtakiwa katika kesi hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA SIKU MBILI VITA DHIDI YA UKATILI KWA WANAWAKE NA WALEMAVU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akihutubia wakati akifungua Kongamano la Majadiliano kuhusiana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na walemavu Mkoani Morogoro leo. Kongamano hilo ambalo limeshirikisha wadau mbalimbali kutoka baadhi ya mikoa ya Tanzania limeandaliwa na Shirika la Seed Trust la mjini Morogoro kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA). Kulia ni Katibu Mtendaji Tume ya Haki za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani