Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamani: Nitakomesha ukatili kwa albino

Dk Titus Kamani WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani anayewania urais wa Tanzania kupitia CCM, amemaliza kutafuta wadhamini katika mikoa 15 nchini, huku akitaja moja ya vipaumbele vyake ni kupambana na wote wenye imani za kishirikina ambazo zinawafanya waue watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wasabato walaani ukatili kwa albino

KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ushahidi wakwamisha kesi dhidi ya ukatili kwa albino

image004 (8)

Mtaalamu wa masuala ya vyombo vya habari jamii na Mkufunzi Bi Rose Haji Mwalimu (aliyesimama) wakati wa ufunguzi kijiji cha Usagara, wilayani Misungwi mkoani Mwanza hivi karibuni.

Na Modewjiblog team, Mwanza

Tabia ya watu kukwepa kutoa ushahidi mahakamani ni sababu mojawapo ya wahalifu wa mauaji ya albino kutotiwa hatiani na kuachiwa huru.

Hayo yameelezwa katika warsha zilizoendeshwa mfululizo wilayani Misungwi, Kahama na Bariadi za ushirikishwaji wa jamii katika kuzuia na kutokomeza...

 

10 years ago

Mwananchi

UKATILI: Liwale watoa tamko mauaji ya albino

>Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, imetoa tamko la kulaani vitendo vinavyoendelea vya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kwa imani za kishirikina.

 

10 years ago

GPL

TUUNGANE KUTOKOMEZA UKATILI WANAOFANYIWA NDUGU ZETU ALBINO

Elnest Mangu. Hakika Mungu ni wa ajabu kwa sababu anatupenda wote bila ubaguzi, hivyo hatunabudi kumhimidi milele. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba leo napenda nizungumzie suala la kuhuzunisha la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, wengine huwaita Maalbino. Hili suala linasikitisha sana licha ya ukweli kwamba limekuwa likipigiwa kelele kila kukicha lakini hatua zinazochukuliwa hazina uzito ukilinganisha na tatizo...

 

11 years ago

Habarileo

Kamani: Nitaleta mabadiliko kwa wafugaji, wavuvi

WAZIRI wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk Titus Kamani amesema amebebeshwa mzigo mzito kuongoza wizara hiyo, kutokana na mtikisiko mkubwa ulioko katika wizara hiyo, unaosababishwa na kukithiri kwa migogoro baina ya wafugaji na wakulima.

 

10 years ago

Michuzi

DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Titus Kamani, amekabidhi mikopo ya Ng’ombe wa maziwa themanini na tatu (83) kwa kikundi cha wafugaji cha Somangira walioko Kigamboni wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Ng’ombe hao ambao wamenunuliwa kwa mkopo uliotolewa na Covenant Bank wana uwezo wa kuzalisha maziwa zaidi ya Lita 20 kwa siku. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Waziri Kamani ametanabaisha  kuwa mikopo ya aina hiyo italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya mifugo.
“Kitendo cha...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KAMANI AKAMILISHA ZIARA NCHINI UFARANSA KWA KUTEMBELEA BANDARI YA UVUVI

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (Mb) alipotembelea Bandari ya Uvuvi ya Boulogne (Port de Boulogne Sur Mer) ambayo ni ya tatu kwa ukubwa Barani Ulaya. Bandari ina eneo la Ha.150 ambalo lina huduma zote muhimu kwa sekta ya uvuvi ikiwa ni pamoja na mnada wa samaki, viwanda vya kuchakata samaki, maabara ya kuhakiki ubora wa mazao ya samaki, Taasisi ya utafiti na mafunzo kwa wavuvi na wasindikaji wa samaki.
Mhe. Dkt. Kamani akiwa katika mnada wa samaki na kupatiwa maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA TCDC DK. TITUS KAMANI AZINDUA MNADA WA CHOROKO KWA MFUMO WA MTANDAO

Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Dk. Titus Kamani akizungumza na Wakulima wa zao la Choroko na wanachama  wa Vyama vya Msingi vya Ushirika wakati akizindua Mnada wa zao la Choroko kwa Mfumo wa Mtandao “Online Trading System” katika moja ya Ghala kwenye kijiji cha Manigana kata ya Solwa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga leo Jumatano Machi 11,2020. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Dk. Titus Kamani...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi  wa Covenant Bank,  Mama Sabetha Mwambenja, akimpokea  Waziri  wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, wakati akiwasili katika hafla ya kukabidhi Ng’ombe 83 wa Maziwa kwa wafugaji wadogo wa Kikundi cha Somangira walioko Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Ng’ombe hao wamenunuliwa kwa Mkopo kutoka Covenant Bank. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam katika hafla ya kukabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani