MH. KAMANI AKAMILISHA ZIARA NCHINI UFARANSA KWA KUTEMBELEA BANDARI YA UVUVI
![](http://3.bp.blogspot.com/-lbvHldS1BNM/VPjBv9RqyyI/AAAAAAAHH9w/7D32J16jvYY/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (Mb) alipotembelea Bandari ya Uvuvi ya Boulogne (Port de Boulogne Sur Mer) ambayo ni ya tatu kwa ukubwa Barani Ulaya. Bandari ina eneo la Ha.150 ambalo lina huduma zote muhimu kwa sekta ya uvuvi ikiwa ni pamoja na mnada wa samaki, viwanda vya kuchakata samaki, maabara ya kuhakiki ubora wa mazao ya samaki, Taasisi ya utafiti na mafunzo kwa wavuvi na wasindikaji wa samaki.
Mhe. Dkt. Kamani akiwa katika mnada wa samaki na kupatiwa maelezo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lET3ABatHUnCP0J-AvgWDGws2XHPaRJs1W93U2yrkiJwjWDL-**tR5J9ezmd*Rkryfxq3kOTCQgOIUxvI3v-XfSaXs22BOI4/AJALI11.jpg?width=650)
WAZIRI DKT TITUS KAMANI ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI KATIKA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA
5 years ago
MichuziMASENETA SITA KUTOKA NCHINI UFARANSA WAPO NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NANE
Na Karama Kenyunko-Michuzi Blog.
MASENETA sita kutoka nchini Ufaransa wako nchini Tanzania kwa ziara za kikazi ambapo wanatarajia kutembelea mikoa mbalimbali pamoja na visiwani Zanzibar kujionea shughuli za maendeleo zinazofanywa na wadau wanaonufaika na misaada ya Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD).
Ziara hiyo itafanyika kwenye Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha na kwamba ni matokeo ya ziara iliyofanywa Septemba mwaka jana na marafiki wa Ufaransa na Tanzania na kuazimia...
10 years ago
MichuziDKT. TITUS KAMANI ATEMBELEA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KILIMO NCHINI UFARANSA
![](http://4.bp.blogspot.com/-lQxpcKIoiHI/VPVwjwpFLDI/AAAAAAAHHTE/GCPHLe7N1Vs/s1600/unnamed.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3utOxRsXGHI/XljZSiVGooI/AAAAAAAA98g/S0wRLhrl8SUCvsXphUN4uGqF4OyVoDGbACLcBGAsYHQ/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA%2BUJIO%2BWA%2BMASENETA%2BKUTOKA%2BUFARANSA-2.jpg)
MASENETA WA UFARANSA KUFANYA ZIARA NCHINI
Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa unatarajiwa kufanya ziara nchini kuanzia tarehe 01 hadi 08 Machi, 2020.
Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 29 Februari, 2020 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar utaongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ufaransa inayoshughulikia masuala ya Maendeleo Endelevu na Naibu Rais wa Kikundi cha Kirafiki na nchi za Bahari ya Hindi Seneta Harve Maurey.
![](https://1.bp.blogspot.com/-3utOxRsXGHI/XljZSiVGooI/AAAAAAAA98g/S0wRLhrl8SUCvsXphUN4uGqF4OyVoDGbACLcBGAsYHQ/s640/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA%2BUJIO%2BWA%2BMASENETA%2BKUTOKA%2BUFARANSA-2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-o8ABDh3Np4M/VPUk70XvaTI/AAAAAAAHHPA/oofNVeERn-s/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
MHE. JANET MBENE AKAMILISHA ZIARA YAKE UINGEREZA KWA KUKUTANISHWA NA WAFANYABIASHARA WA KITANZANIA JIJINI LONDON
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D4F2_tYapDQ/UwcKx22R87I/AAAAAAAAFCQ/Cb6v2bM4nj8/s72-c/IMG_0259.jpg)
KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JOB MASIMA AKAMILISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI RUKWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-D4F2_tYapDQ/UwcKx22R87I/AAAAAAAAFCQ/Cb6v2bM4nj8/s1600/IMG_0259.jpg)
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Bandari kudhibiti meli za uvuvi yaja
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ipo mbioni kujenga bandari ili kuhakikisha meli zinazofanya uvuvi nchini zinakaguliwa na kufuata sheria zote za uvuvi. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es...