Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI WA ZANZIBAR MHE. ALI JUMA SHAMHUNA AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI OMAN

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa serikali ya Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna, alifanya ziara ya Kikazi nchini Oman kuanzia tarehe 16 hadi 20 February 2014 kwa Mwaliko wa mwenyeji wake Mheshimiwa Dr. Rawiyah Al Busaidi, Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman.
Ziara hii ilikuwa na madhumuni makuu ya kuimarisha uhusiano wa kindungu uliopo baina ya Oman na Tanzania kupitia sekta ya Elimu na kuimarisha uhusiano wa karibu na ushirikiano baina ya taasisi za elimu kati ya Tanzania na...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KAZI,VIJANA NA AJIRA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA VODACOM TANZANIA

 Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na Ajira,Mhe Anthony Mavunde (watatu toka kushoto) akikagua vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini vya mfanyakazi wa kigeni wa Vodacom Tanzania , Valentino Giron (kushoto),wakati alipofanya ziara ya kikazi Makoa makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni,Anayeshuhudia kulia ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu.  Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na Ajira,Mhe Anthony Mavunde(Kulia) akisisitiza jambo kwa wafanyakazi...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipompokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.   Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS (KAZI MAALUM) AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI SUDANI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya yuko ziarani nchini Sudan ambako atatembelea miradi mbalimbali ya maendeleo nchini humo ikiwemo miradi mikubwa ya mabwawa yaliyojengwa katika bonde la Mto Nile pamoja na kubadilishana uzoefu na taasisi za Sudan zinazojihusisha na udhibiti wa huduma katika sekta za maji, nishati, mawasiliano na usafirishaji.
Ujumbe wa Mhe. Prof. Mwandosya umejumuisha wataalamu kutoka Wizara ya Maji, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde afanya ziara makao makuu ya Tigo

  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde  akizungumza na wafanyakazi wa Tigo baada ya kufanya ziara mapema  wiki hii katika makao makuu ya Tigo Kijtonyama  jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari na wafanyakazi wa Tigo baada ya kufanya ziara mapema wiki hii  katika makao makuu ya Tigo Kijitonyama Dar es Salaam. Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez , akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani