Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipompokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.   Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Mach 19, 2014 Princess Victoria, ambaye ameambatana na Waziri wa Biashara wa Sweden. Bi Ewa Björling, yuko nchini kwa ziara ya siku tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bernard Kamillius Membe: Waziri wa Mambo wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Historia yake Benard Membe alizaliwa Novemba 9, 1953 katika Kijiji cha Rondo-Chiponda, Wilaya ya Lindi hivyo atatimiza miaka 62, Novemba mwaka huu. Ni mtoto wa pili kati ya saba wa familia ya Mzee Kamillius Anton Ntanchile na mama Cecilia John Membe. Hivi sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

 

11 years ago

Michuzi

Binti Mfalme wa Sweden aendelea na ziara yake nchini

Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree akisalimiana na mmoja wa Maafisa waliompokea alipotembelea Mradi wa Maji wa WaterAid unaofadhiliwa na nchi yake uliopo Kigamboni eneo la Tungi, Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Bi. Sofia Mjema. Mtukufu Victoria alitembelea Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014. Mmoja wa Vijana wa skauti akimvisha skafu Mtukufu Victoria...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA BARAZA LA TISA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernald Membe akizungumza wakati akifungua Barazala Wafanyakazi la Wizara ya Mambo ya Nje katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernald  akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi wakiwa katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NCHINI KUTEMBEA WAGENI WA KIMATAIFA MAKUMBUSHO YA TAIFA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akipata maelezo ya Michoro ya Mapangoni kutokwa kwa Mtaalam wa Makubusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam Bi Agnes Gidna. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akipata maelezo...

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Balozi wa Syria


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Maadhi Juma Maalimu (Mb) akimkaribisha Balozi wa Syria Nchini Mhe. Abdulmonem Annan, alipokuja kumtembelea na kumweleza kuhusu hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Syria  Balozi Abdulmonem Annan akizungumza na Mhe. Maadhi Juma Maalim  Mazungumzo yakiendelea. Picha na Reginald Philip 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani